Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Sasa Programu ya Google Duo Yapatikana Play Store

Programu mpya ya kuchat kwa video ya Google Duo sasa yafika Play Store
Programu ya Google Duo Programu ya Google Duo

Programu mpya ya kuchat ya video iliyokua inasubiriwa kwa muda mrefu ya Google Duo sasa imefika Play Store. Hii ni baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu sana baada ya kuzinduliwa kwenye mkutano mkubwa wa Google I/O uliofanyika mapema mwanzoni mwa mwaka huu.

Programu hiyo ambayo imekwisha downloadiwa mara zaidi ya 5000 toka kuachiwa kwake hapo jana inasemekana ndio programu bora ya kuchat kwa video kwa kutumia kutumia mitandao ya 3G pamoja na 4G, hapa tanzania tech tumepata nafasi ya kuijaribu programu hiyo mpya na tumeona ni bora na ni nzuri japo inaitaji marekebisho ya hapa na pale.

Advertisement

Kama ulifanya usajili wa awali ili kupata taarifa za programu hii basi lazima utakua umesha download programu hii kwenye simu yako, kama bado basi usiwe na wasiwasi kwani unaweza kuipata kwa kubofya hapo chini ili kupakua programu hiyo moja kwa moja kwenye simu yako.

Google Meet
Price: Free

Kwa kupata habari zaidi unaweza kuungana nasi kupitia barua pepe (email) na tutakujulisha pindi tu habari mpya itakapo ingia kwenye tovuti yetu ya Tanzania tech, pia unaweza kutufuata kwenye mitandao ya kijamii ya  facebook, Instagram, Twitter na Youtube Channel ili kupata video za habari na mafunzo ya teknolojia mbalimbali.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use