Tengeneza Pesa Mtandaoni Kupitia App Bila Ujuzi

Kupitia njia hii utatengeneza pesa bila kuandika makala au kupakia kitu chochote
Tengeneza Pesa Mtandaoni Kupitia App Bila Ujuzi Tengeneza Pesa Mtandaoni Kupitia App Bila Ujuzi

https://www.tanzaniatech.one/sw/biashara/item/jifunze-kutengeneza-app-ya-android-bila-programu-yoyote/82

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanafikia kumiliki app yako kwa kutengeneza app yako mwenyewe bila kutumia programu yoyote basi hii ni nafasi yako. Tanzania tech tunakuletea kozi ambayo itakusaidia kuweza kutengeneza app yako mwenyewe ambayo itakusaidia sana kuingiza pesa mtandaoni kila siku.

Kupitia kozi hiyo nitakufundisha kutengeneza app hiyo ambayo unaweza kuweka kwenye soko la Play Store, na pia app hiyo inafanya kila kitu automatic bila wewe kufanya kitu chochote. Kifupi ni kwamba makala zote zitakuwa zinajipakia zenyewe kwa urahisi na haraka. Bofya link hapo juu kujua zaidi kuhusu kozi hii

Advertisement

1 comments
  1. Sasa ukiwa mfano sina namba ya benk account hafu nkatumia namba ya benk account ya mtu mwingine. kuna tatizo polite?

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use