Angalia hapa mubashara mkutano wa WWDC 2018, Kila mwaka Apple hufanya mkutano wa WWDC au Apple Worldwide Developers Conference, kwenye mkutano huo Apple hupata nafasi ya kuonyesha bidhaa zake mpya ikiwa pamoja na mambo mengine yanayohusu mifumo mipya ya uendeshaji ya vifaa vya kompyuta na Simu kutoka Apple. Angalia hapa Tamasha hilo Mubashara.