Angalia Mpira Tanzania na Duniani Kupitia Simu

Kupitia njia hii utaweza kujua habari zote duniani za michezo ndani ya DK 10
Angalia Mpira Tanzania na Duniani Kupitia Simu Angalia Mpira Tanzania na Duniani Kupitia Simu

Najua wewe ni mpenzi wa habari za michezo ndio maana unasoma makala hii kwa sasa, kupitia makala hii nitaenda kuonyesha njia ambayo na uhakika kwa asilimia 100 utaipenda sana na utaendelea kuitumia kila siku kuanzia siku ya leo.

Njia hii itakusaidia kupata taarifa za michezo yote duniani ikiwa pamoja na michezo pendwa ya mpira wa miguu, mpira wa kikapu na michezo mingine yote duniani.

Mbali na hayo, kama wewe ni mpenzi wa Ligi za Tanzania basi usijali kwani njia hii inayo kila kitu ambacho mwana michezo anapendelea, uwe ni mpenzi wa michezo ya Tanzania au nje ya nchi njia hii itakupa taarifa zote unazotaka.

Advertisement

Angalia Mpira Tanzania na Duniani Kupitia Simu

Mbali na hayo utaweza kujua mpangilio wa timu, point za timu husika pamoja na kila kitu kama vile mahali ambapo michezo huchezwa, ratiba ya mechi na mengine mengi yote ya muhimu.

Angalia Mpira Tanzania na Duniani Kupitia Simu

Mbali na hayo utaweza kufuatilia michezo kwa kupata matokeo Live (Mubashara) moja kwa moja pamoja na kufuatia magoli kati ya timu mbalimbali. Kitu cha muhimu ni kuchagua ligi unayo ipendelea zaidi kisha moja kwa moja anza kupata matokeo ya michezo kutoka ligi husika.

Angalia Mpira Tanzania na Duniani Kupitia Simu

Mbali na hayo utaweza kusoma habari mbalimbali kutoka ndani na nchi na nje ya nchi kulingana na ligi uliyochagua mwanzoni, pia unaweza kuchagua timu na kuweza kuifuatilia kwenye ligi zote ikiwa pamoja na kufuatilia habari za mchezaji unaempenda ikiwa pamoja na siku ambazo mchezaji huyo anacheza.

Angalia Mpira Tanzania na Duniani Kupitia Simu

Mbali na hayo utaweza kuona Highlights za michezo mbalimbali hii ikiwa ni pamoja na michezo iliyo tokea dakika chache zilizopita ikiwa pamoja na ile ambayo imetokea siku za nyuma.

Angalia Mpira Tanzania na Duniani Kupitia Simu

Pia utaweza kupata habari za kuhusu kuuzwa na kununuliwa kwa wachezaji mbalimbali ikiwa pamoja na habari yoyote mpya ya michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania na sehemu nyingine.

Angalia Mpira Tanzania na Duniani Kupitia Simu

Pia kwa wale ambao wanapenda michezo ya kubet, kupitia app hii utaweza kupata tip za kubeti kulingana na mchezo uliyo ichagua, utaweza kupata taarifa ni mchezo gani wa kubet na timu gani ambayo inayo odds za juu zaidi.

Angalia Mpira Tanzania na Duniani Kupitia Simu

Kifupi ni kwamba, kama wewe ni mpenzi wa habari za michezo basi njia hii ni moja kati ya app muhimu sana kuwa nayo kwenye simu yako kuanzia siku ya leo. App hii haina matangazo na unaweza kutumia bure kabisa na bila kizuizi chochote. Unaweza kujaribu app hii kupitia link hapo chini.

Download App Hapa

Kama umependa app hii basi unaweza kutoa maoni yako kupitia link hapo chini, au kama unataka kujua zaidi kuhusu habari za michezo basi unaweza kusoma hapa kujua kuhusu tovuti ya klabu ya mpira wa miguu ya Simba SC.

Kwa habari zaidi kuhusu michezo na teknolojia basi hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania tech kila siku.

2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use