Jinsi ya Kudivert SMS Kutoka Simu Moja Kwenda Nyingine

Utaweza kupata SMS kutoka simu moja kwenda simu nyingine kwa urahisi
Jinsi ya Kudivert SMS Kutoka Simu Moja Kwenda Nyingine Jinsi ya Kudivert SMS Kutoka Simu Moja Kwenda Nyingine

Ni wazi kuwa SMS bado zinayo nafasi kubwa sana, hasa uki zingatia ni ngumu kutumia baadhi ya huduma mbalimbali za kifedha kwenye simu yako bila kutumia SMS, ndio maana leo nimekuletea njia mpya na rahisi ya ku-forward au ku-divert SMS kutoka simu moja kwenda nyingine bila kushika simu hiyo mara kwa mara.

Kumbuka njia hii ni kwa ajili ya watumiaji wa simu za Android hivyo kama unatumia simu yenye mfumo wa iOS basi njia hii bado haitaweza kukusaidia. Baada ya kusema hayo moja kwa moja twende kwenye njia hii rahisi.

Advertisement

Baada ya kuangalia video hapo juu natumaini utakuwa umeweza kudivert SMS kutoka kwenye simu moja kwenda kwenye simu nyingine. Unaweza ku-download app iliyotajwa kwenye video hapo juu kupitia link Hapa.

Kama unataka kujifunza zaidi unaweza kuangalia video hapo chini kujua jinsi ya ku-divert simu kwa urahisi na haraka, unaweza kusoma zaidi kupitia hapa.

Kwa maujanja zaidi hakikisha una jiunga nasi kupitia kwenye channel ya Tanzania Tech kupitia mtandao wa YouTube, Kupata habari za teknolojia kila siku hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania Tech kila siku.

6 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use