Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Instagram Yaongeza Dakika za Video Post

Instagram Yaongeza Dakika za Video Post Instagram Yaongeza Dakika za Video Post

Hivi karibuni instagram kupitia blog  yake ilitangaza kuongeza dakika za video post na kuwa sekunde 60 yani dakika moja ambapo hapo awali ilikua ni sekunde 15 tu, instagram imeandika kuwenye blog yake kuwa video zimeongezeka kwenye instagram kwa kiasi cha asilimia %40 kwa muda wa miezi sita hivyo instagram iliona kuna umuhimu wa kuongeza dakika za video post katika application hiyo ya instagram.

Instagram iliandika kuwa itatoa toleo lake hilo jipya hivi karibuni kwani kwasasa toleo hilo jipya bado linaendelea kufanyiwa majaribio nakuongeza kuwa kuna baadhi ya vitu ambavyo bado havija kamilika. Tutaendelea kuwa faamisha pale toleo hilo litakapo ingia kwenye Play Store pamoja na App Store.

Advertisement

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use