Pata Majibu ya Hesabu Yoyote kwa Kupiga Picha Maswali

Pata majibu ya hesabu kiurahisi kwa kutumia app hii
Photomath Photomath

Teknolojia imekua sana kiasi kwamba sasa huna haja ya kupoteza wakati kufanya hesabu kwa muda mrefu bali sasa unachotakiwa kufanya ni kupiga picha swali lako kisha Photomath itakupa majibu kiurahisi kabisa na moja kwa moja.

Programu ya Photomath inakupa masaada wa kufanya hesabu hizo hatua kwa hatua pamoja na kukupa majibu kiurahisi kabisa, kama bado hujui hesabu kama X equals 4, basi programu hii itakufundisha.

Kama unataka programu hii ya Photomath inapatikana kupitia Play Store uku ikikupa uwezo wa kuitumia bure na kama unataka kufanya zaidi unaweza kulipia app hii… kiukwelii ni sawa kabisa hata kununua kwani app hii inakuja na uwezo mkubwa sana.

Advertisement

Unaweza kudownload App ya hii moja kwa moja kupitia soko la Play Store au unaweza kubofya hapo chini na utapelekwa kwenye ukurasa na download moja kwa moja.

Photomath
Price: Free

Download App Hapa

Kwa habari zaidi za teknolojia download App ya Tanzania Tech au jiunge na channel yetu ya Tanzania tech kupitia mtandao wa youtube ili kupata habari za teknolojia pamoja na maujanja ya teknolojia.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use