Hatimaye Kampuni ya Google Yaleta Google Assistant Kwenye iOS

Sasa kampuni ya Google yafanikiwa kuleta Google Assitant kwenye iPhone
Google Assistant Google Assistant

Katika mkutano wa Google I/O wa mwaka 2017 uliofanyika hapo jana kampuni ya Google ilitangaza kuletea programu ya Google Assistant ambayo hapo mwaka jana ilizinduliwa rasmi kwenye mfumo wa Android.

Hata hivyo bado haija julikana kama programu hiyo itatumika kupitia kwenye App yake ya Google Assistance au italetwa moja kwa moja kwenye simu zenye mfumo wa iOS. Google pia inasema ina uhakika kuwa watu wengi wata tumia programu ya Google Assistance kuliko wanavyotumia programu ya Siri inayokuja na mfumo wa uendeshaji wa simu za iPhone na iPad.

Kujua Yote yaliojiri kwenye mkutano wa Google I/O 2017 endelea kutembelea Tanzania Tech wakati tuki kuandalia yote yaliyojiri kwenye mkutano huo. Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja mbalimbali ya teknolojia kwa njia ya video.

Advertisement

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use