China Yazifungia Huduma za iTunes’ Movies na iBooks

China Yazifungia Huduma za iTunes' Movies na iBooks China Yazifungia Huduma za iTunes' Movies na iBooks

Siku ya terehe 22 ya mwezi huu zilitoka taarifa ya kuwa china imezifungua huduma za kampuni ya Apple za iTunes, Movies na iBook, hii ni miezi saba tu toka huduma hizo zianze kufanya kazi katika nchi hiyo ya china, hata hivyo kampuni ya Apple ilitoa taarifa kwa Bloomberg kuwa bado inashulikia ili kurudisha huduma hizo nchini huko.

Hata hivyo jarida la New York Times la marekani lilitoa taarifa hivi karibuni kuwa china ilitoa sheria mpya ya mambo ya mitandao ambapo sheria hiyo ilianza kutumika mapema hapo wiki iliyopita ambapo ndio ilisababishwa kuzimwa kwa huduma hizo za Apple.

 

Advertisement

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use