Angalia Channel za DSTV Kupitia Simu Bure Bila Kifurushi

Utaweza kuangalia channel mbambali kupitia simu yako ya mkononi
kuangalia dstv kwenye simu kuangalia dstv kwenye simu

Kama wewe ni mpenzi wa michezo, movie, Tamthilia na makala mbalimbali basi ni wazi kuwa lazima unamiliki kisimbusi cha DSTV, kama bado huna kisimbusi hicho basi pengine njia hii inaweza kukusaidia kuangalia baadhi ya channel zilizopo kwenye Kisimbusi cha DSTV bure kabisa.

Kwa kuanza basi ni vyema kujua kuwa channel za Tanzania na Afrika kama Maisha Magic Bongo na nyingine kama hizo hutaweza kuziangalia kupitia njia hii, lakini kama wewe ni mpenzi wa michezo, filamu na mengine mengi basi utaweza kufurahia njia hii kwa asilimia 100.

Kwa kuanza ni lazima uwe unatumia simu ya Android na kama tayari unatumia simu ya Android, basi moja kwa moja anza kwa kudownload app mwisho wa ukurasa huu

Advertisement

Kumbuka App hii haipatikani kwenye soko la Play Store hivyo ni lazima uipakue kupitia kwenye link inayo patikana mwisho wa ukurasa huu.

Baada ya kudownload na kuinstall App hiyo, sasa ingia kwenye soko la Play Store kisha pakua App ya MX Player kisha install kwenye simu yako vizuri, unaweza kupakua app hiyo pia kupitia link chini.

MX Player
Price: Free

Download Hapa

Baada ya kupakua na kuinstall vizuri App zote mbili, fungua App ya RedBox TV kisha utaona channel nyingi tofauti ambazo unaweza kuangalia kwa kubofya nembo ya Channel unayoipenda, kumbuka channel hizi zinatumia internet kwenye simu yako hivyo ni muhimu kukumbuka kununua bando kabla ya kuanza kuangalia channel hizo.

Natumaini maujanja haya yame kusaidia, kama una swali au kuna mahali umekwama usisite kutuandikia kwenye maoni hapo chini, vilevile tembelea channel yetu ya Tanzania Tech kupitia Youtube ili uweze kujifunza zaidi mambo yote ya teknolojia kwa njia ya Video.

Download Hapa

24 comments
 1. Naomben msaada hiv nataka kijua sms zinazoingia kweny simu ya mpenz Wang ni application gan nitumie ili kumpsay yeye

 2. Maoni* naitwa savyo.y.msigwa mtandao unajitaidi sana ila unakataha kwenye youtube kwenye sim za kawahida kwanini msiboreshe hata sisi wenye hali zakawaida tukawa tunafaidi

 3. ahsante, kwa elimu yako lakini nilijribu kudownload app hizo ila channel za dstv hazimo zipo nyigine wandugu.

 4. ipo vizur naomba nijibu kwa imail
  ni app iv unaweza kutumia kwenye computer kurushia matangazo kwenye cable kama tv chanel

 5. Nilikuwa naomba mnielekeze namna ya kujiunga na dstv kwenye upande wa simu ya mkononi
  Asant

 6. Maoni*mbona nikifungua kwenye sehemu iliyo andikwa red box tv ina niletea neno rechapt sielew naomba msaada

 7. Maoni*samahani pia hongera kwa utendaji mzuri was Nazi zenu,..ninatamani kujiunga na apo ya dstv kwenye simu yangu ya mkononi lakini nashindwa….naomba mnisaidie tafadhari

 8. Nataka maelekezo ya kujiunga na DStv kwenye simu yang naangaika kwenye kujiunga kwenye jina na password pananiehinda

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use