Sunday Movie #8 Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili

Hii hapa movie nzuri ya kumalizia jumapili yako ya leo ya Tarehe 18/10/2020
Sunday Movie #8 Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili Sunday Movie #8 Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili

Karibu kwenye Sunday Movie 8, kama kawaida ni jumapili nyingine tena na leo tunaenda kuangalia movie nyingine nzuri ya teknolojia ya kuangalia jumapili ya leo. Kwa siku ya leo sidhani kama kuna haja ya kuongelea sana movie bali unaweza kuangalia Trailer hapo chini.

Kumbuka movie hii sio nzuri kwa watoto kutokana na kuwa na sehemu zenye kuonyesha mapigano ambayo sio mazuri kwa watoto. Ni vizuri kuwa makini na movie hii na kuhakikisha una umri wa miaka 18 kabla ya kuangalia movie hii.

Advertisement

Pakua Hapa 6 Underground

Kama umepitwa na Sunday Movie 7, unaweza kusoma hapa. Pia kama unataka kujua jinsi ya kupakua movie kwa urahisi unaweza kusoma hapa.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use