in

Ongeza Ukubwa wa Maandishi Kwenye Apps Zote (Android)

Kupitia sehemu hii utaweza kukuza maandishi yote kwenye app na setting kwa ujumla

Ongeza Ukubwa wa Maandishi Kwenye Apps Zote (Android)2:36

Ni wazi kuwa kuna wakati unataka kuongeza ukubwa wa maandishi kwenye simu yako ya Android, hii ni muhimu zaidi kwa watu wazima ambao pengine kwa namna moja ama nyingine wamepoteza uwezo wa kuona vizuri.

Kupitia njia hii nitakuonyesha njia rahisi ya kuongeza ukubwa wa maandishi kwenye simu yako nzima ya Android. Hii itafanya maandishi kwenye simu yako yote ya Android kuonekana makubwa na yenye kuonekana zaidi.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Basi bila kupoteza muda twende moja kwa moja kwenye hatua hizi. Kitu cha muhimu hakikisha unatumia simu ya Android na unafuata maelezo haya yote.

Bila shaka hadi hapo utakuwa umeweza kuongeza ukubwa wa maandishi kwenye apps zote za Android ikiwa pamoja na kwenye Settings zote.

Jinsi ya Kupata File Lolote kwa Haraka (MP3,MP4,ZIP,PDF,ISO)

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.