Jinsi ya Kutengeneza Android App (Bure) Ndani ya DK 5

Utaweza kutengeneza app bila PC pia utaweza kutengeneza pesa kupitia Admob
Jinsi ya Kutengeneza Android App (Bure) Ndani ya DK 5 Jinsi ya Kutengeneza Android App (Bure) Ndani ya DK 5

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao kwa muda mrefu ulikuwa unataka kutengeneza Android app kwa ajili ya website yako bila mafanikio basi pengine makala hii itaweza kusaidia sana.

Kupitia makala hii nitenda kuonyesha njia rahisi na ya haraka ya kutengeneza Android app bure bila ulazima wa kuwa na kompyuta ndani ya dakika 5. Kitu cha muhimu ni kuhakikisha kuwa unayo website kwani bila hivyo njia hii haitaweza kufanya kazi kwa upande wako.

Kama tayari unayo website basi hatua zifuatazo zitaweza kusaidia kutengeneza Android app kwa urahisi. Kitu kizuri ni kuwa utaweza kuweka matangazo kwenye app hii kwa urahisi kabisa kupitia njia hii.

Advertisement

Pia ni muhimu kujua kuwa app hii itakuwa webview na sio Native app kama inavyo kuwa ukitengeneza kupitia Android Studio.

Hatua ya kwanza tembelea tovuti hapo chini, hakikisha una internet kwenye simu yako au kompyuta yako.

Tembelea Tovuti Hapa

Tovuti hii ipo simple sana na unaweza kuona kila kitu pale tuu unapo ingia kwenye tovuti hii kwa mara ya kwanza.

Jinsi ya Kutengeneza Android App (Bure) Ndani ya DK 5

Baada ya kuingia kwenye site hii basi moja kwa moja fuatisha maelezo hapo chini na moja kwa moja utaweza kutengeneza app yako ya Android kwa urahisi na haraka.

Kwa kufuata hatua hizi ni matumaini yangu kuwa umeweza kutengeneza app yako kwa urahisi kabisa, pia bila shaka umeweka matangazo kwenye app yako tayari kwa kutengeneza pesa kupitia Admob. Kama unataka kujua jinsi ya kuweka notification basi fuata maelezo hapa..

Kama unataka kujifunza zaidi unaweza kusoma hapa jinsi ya kutengeneza app ya Android kwa kutumia Andromo. Kwa msaada zaidi hakikisha una uliza kupitia maoni hapo chini.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use