in

Video: Je Wajua Aina za Roboti Wanaofanana na Wanyama.?

Roboti hizi ni kwaajili ya kufanya mambo mbalimbali ya kusaidia binadamu

Video: Je Wajua Aina za Roboti Wanaofanana na Wanyama.?

Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia ni wazi kuwa wanasanyansi wamekuwa wakijaribu kutengeneza roboti mbalimbali ambazo pengine zinafanana binadamu na hata wanyama pia.

Kwa sasa naweza kusema asilimia kubwa ya roboti hizo zinatumika kufanya kazi mbalimbali ambazo zimekuwa msaada mkubwa kwa binadamu. Kupitia makala hii ya je wajua, nimekusogezea video hii yenye kuonyesha roboti mbalimbali zinazofanana na wanyama kwa kiasi kikubwa.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Roboti hizi zipo kwenye nchi mbalimbali na zinatumika kufanya kazi mbalimbali kama vile, kufukuza wanyama ndege kwenye maeneo ya viwanja vya ndege ili kusaidia ndege hizo zisipate ajali pale wanyama hao wanapoingia kwenye injini. Mhhh! umegundua nini.? mbona kama hii ni ngumu kuelezea.! anyway bofya Play hapo chini kujua zaidi.

I hope umejua sasa, kama unataka kujua zaidi unaweza kusoma hapa kujua aina 10 za meli ambazo ni kubwa kuliko zote duniani, pia unaweza kusoma hapa kujua mambo 8 ambayo hutakiwi kufanya mtandaoni.

Kutana na Gari Kubwa Kuliko Yote Duniani (Linatembea)

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.