in

Tofauti ya Bei za Galaxy S20, S20 5G na S20 Plus, S20 Plus 5G

Bei tofauti za simu za Galaxy S20 kutokana na aina ya mtandao 4G au 5G

Tofauti ya Bei za Galaxy S20, S20 5G na S20 Plus, S20 Plus 5G

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wamesoma makala zilizo tangulia basi lazima utakuwa umechanganyikiwa kidogo pale ulipo soma bei ya simu za Samsung Galaxy S20, Galaxy S20 5G na Galaxy S20 Plus, pamoja na Galaxy S20 Plus 5G.

Kama unavyojua Samsung hapo jana samsung imezindua simu za aina mbili za Galaxy S20 lakini simu zote za Galaxy S20 na S20 Plus zote zinakuja na matoleo ya 4G pamoja na matoleo ya 5G. Matoleo yote haya yanakuja kwa bei tofauti na makala hii ni maalum kwaajili ya kuonyesha tofauti ya bei kati ya simu hizi. Pia nimeongeza bei ya Galaxy Z Flip kwa wale ambao wanataka kuona kila kitu sehemu moja.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Tofauti ya Bei za Galaxy S20, S20 5G na S20 Plus, S20 Plus 5G

Bei ya Galaxy S20, S20 5G na S20 Plus, S20 Plus 5G

Hizi hapa tofauti za bei za simu za Samsung Galaxy S20, Galaxy S20 5G, Galaxy S20 Plus, Galaxy S20 Plus 5G pamoja na Samsung Galaxy Z Flip.

Samsung Galaxy S20US$TZS
4G 128GB storage$980TSh 2,263,800.00
5G 128GB$999TSh 2,307,690.00
Samsung Galaxy S20+US$TZS
4G 128GB storage$1,090TSh 2,517,900.00
5G 128GB$1,199TSh 2,769,690.00
5G 512GB$1,299TSh 3,000,690.00
Samsung Galaxy S20 Ultra     US$TZS         
5G 128GB$1,399TSh 3,231,690.00
5G 512GB$1,599TSh 3,693,690.00
Samsung Galaxy S20 Ultra      US$      TZS         
4G 256GB$1,380Tsh 3,187,800.00

Kumbuka bei hizi zinaweza kuongezeka pale simu hizi zintakapo fika hapa Tanzania, hii inatokana na kuwa bei hizo hazija jumuishwa na kodi hivyo pale zitakapo jumuishwa bei ya simu hizi lazima itaongezeka.

Pia sababu nyingine ni kupanda au kushuka kwa viwango vya kubadilisha fedha, hii ni kwasababu bei tulizo taja hapo juu ni kwa mujibu wa viwango vya kubadilisha fedha vya siku ya leo.

Apple Yathibitisha iPhone 15 Kuzinduliwa 12 Septemba

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.