in

Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya Apple

Angalia mubashara uzinduzi wa iPhone 11

Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya Apple

Kama unataka kuangalia uzinduzi mzima wa simu mpya za iPhone 11 basi unaweza kuangalia hapa moja kwa moja uzinduzi huo, ila kama unataka kujua zaidi basi endelea kutembelea Tanzania Tech tutakuletea uzinduzi huu ukiwa ndani ya dakika chache.

Baada ya simu za iPhone 11, iPhone 11 Pro na iPhone 11 Max kuzinduliwa rasmi sasa unaweza kuangalia uzinduzi huu ndani ya dakika 11.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Simu Mpya za iPhone 15 Pro na 15 Pro Max (Mabadiko Muhimu)

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.