in

Apps Nzuri za Kuongeza Ulinzi kwenye Simu Yako ya Android

Hizi hapa apps nzuri zinaweza kuongeza ulinzi kwenye simu yako ya Android

Apps Nzuri za Kuongeza Ulinzi kwenye Simu Yako ya Android12:14

Kama wewe ni mtumiaji wa simu za Android basi ni wazi unajua kuwa ulinzi ni kitu cha muhimu sana kwenye simu yako, kwa bahati mbaya ulinzi uliopo kwenye simu za Android sio mzuri kwa asilimia 100 ndio maana unahitaji apps nzuri za kuweza kusaidia kuongeza ulinzi kwenye simu yako.

Kupitia makala hii tutaenda kuangalia apps nzuri ambazo unaweza kutumia kwenye simu yako ya Android, apps hizi zitaongeza ulinzi kwenye simu yako kwa namna ya kipekee na kufanya simu yako kuwa salama kabisa kulingana na eneo ulilopo.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Apps hizi zote zinapatikana kwenye soko la Play Store na zote unaweza kuzipakua kupitia ukurasa huu, basi bila kupoteza muda twende tukangalie app hizi.

Double Tap
Price: Free
Don't Touch My Phone
Google Find My Device
Intruder Selfie™
Price: Free

Bonus

Na hizo ndio apps nzuri nilizo kuandalia kwa siku ya leo, kumbuka unaweza kuangalia apps nyingine nzuri kupitia Hapa na pia kama unapenda kujua apps nzuri zaidi unaweza kusubscribe kwenye channel yetu hapa na utakuwa unapataka video zenye kuelezea kuhusu apps mpya za Android na jinsi ya kutumia kwenye simu yako.

Jackline John

Apps Nzuri za Kuongeza Ulinzi kwenye Simu Yako ya Android

Jack ni mpenzi wa teknolojia napenda kuandika kuhusu maujanja, simu na kompyuta. Unaweza kunipa maujanja kupitia [email protected]

Apps Nzuri Kwaajili ya Kupakua Video za Aina Yoyote

Written by Jackline John

Jack ni mpenzi wa teknolojia napenda kuandika kuhusu maujanja, simu na kompyuta. Unaweza kunipa maujanja kupitia [email protected]

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

2 Comments