in

Angalia Hapa Mkutano wa WWDC 2018 Ndani ya Dakika 14

Fahamu yote yaliyojiri jana ndani ya dakika 14

Mkutano wa wwdc 2018 dakika 14

Kama siku ya jana ulipitwa na ukuweza kuangalia mkutano wa WWDC 2018, Hapa Tanzania Tech tunakupa uwezo wa kuangalia yote yaliyo jiri kwenye mkutano huo ndani ya Dakika 14. Unaweza kuangalia video kamili yenye masaa yote ya mkutano huo ulivyo kuwa kwenye makala iliyopita. Pia unaweza kusoma hapa kujua zaidi kuhusu mfumo mpya wa iOS 12 na unaweza kusoma hapa kujua zaidi kuhusu mfumo wa macOS Mojave.

Pia kama unataka kufuatilia zaidi mkutano wa WWDC 2018 unao endelea mpaka hapo siku ya tarehe 8 mwezi huu, unaweza kutembelea ukurasa wetu maalum wa #WWDC 2018.

Sehemu Bora za Kupata Mkopo wa Smartphone

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.