Sasa Unaweza Kudownload Toleo Jipya la iOS 10.2 beta 6

Sasa unaweza kudownload toleo jipya la iOS 10.2 beta 6 kwaajili ya kifaa chako chenye iOS 10.1.1
ios-10-2-beta-6 ios-10-2-beta-6

Apple kwa mara nyingine iko kwenye hatua za mwisho za kuandaa update za toleo jipya la iOS kwaajili ya kufanya marekebisho mbalimbali. Toleo hilo ambalo limetolewa kwaajili ya majaribio kwa sasa unaweza kudownload kupitia simu yako moja kwa moja na kupitia Apple’s dedicated developer portal.

Toleo hilo ambalo linaleta maboresho mbalimbali pamoja na emoji mpya, wallpapers mpya, na programu mpya ya Apple’s TV app. Kwa sasa unaweza kudownload toleo hilo jipya kwenye simu yako ikitumia mfumo wa OTA. Pia unaweza kudownload iOS kwa kutumia iTune na kuinstall moja kwa moja kwenye simu yako.

Kama una maoni yoyote kuhusu toleo hili tuandikie maoni hapo chini au unaweza kujiunga na majadiliano kwenye mitandao yetu ya kijamii ya  Facebook, Twitter na Instagram pamoja na Youtube kama unataka kujifunza mambo mbalimbali ya teknolojia kwa njia ya Video. Pia kama unataka kupata habari zote za teknolojia kwa haraka unaweza kudownload sasa App yetu ya Tanzania tech kutoka Play Store na hivi karibuni itapatikana kupitia App Store.

Advertisement

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use