in

Programu Mpya ya “Veta Somo” Darasa Kupitia Simu ya Mkononi

Njia mpya ya kujifunza masomo kupitia mtandaoni…

Veta Somo

Teknolojia inazidi kukua duniani kote pia tanzania pia haiko nyuma kwenye hilo pia, hivi karibuni kampuni ya simu ya Airtel kwa kushirikiana na Chuo cha mafunzo ya ufundi stadi Tanzania yani VETA walishirikiana kuzindua programu mpya iliyopewa jina la V Somo au Veta Somo.

Programu hiyo iliyo-tengenezwa maalumu kwaajili ya kumsaidia mtanzania kupata mafunzo mbalimbali moja kwa moja kupitia simu yake ya mkononi ilizinduliwa na kampuni ya Airtel hapo jana, akizungumza na waandishi wa habari mkurugenzi wa Airtel Tanzania alisema kuwa wanategemea programu hii itafikisha elimu ya ufundi stadi kwa vijana wengi hapa tanzania kwa urahisi na haraka zaidi. Programu hiyo imesha anza kufanya kazi na inategemewa kufikia vijana wengi wa kitanzania siku za usoni.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
Vsomo
Price: Free

Apps za Kurahisisha Matumizi ya Mtandao wa Instagram

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

21 Comments

  1. Hivi hii program ya ukweli au tunadanganywa? Mbona mm nimesoma nimefaulu na nimelipa ada yote lkn mpaka leo sijaitwa chuoni nimepiga cm mara kadhaa mpaka hawapokei Tena cm yangu niambieni ukweli ili nijue