Shirika la Posta Tanzania Kuanzisha Huduma ya Posta Mlangoni

Shirika la Posta Tanzania Kuanzisha Huduma ya Posta Mlangoni Shirika la Posta Tanzania Kuanzisha Huduma ya Posta Mlangoni

Shirika la posta Tanzania hivi karibuni linatarajia kuanza kutoa huduma yake mpya ya Posta Mlangoni au Mail Delivery ambapo mteja atafikishiwa kifurushi alichotumiwa mlangoni mwake kutoka ndani na nje ya nchi, huduma hii inategemewa kuanza kufanya kazi mwanzoni mwa wiki ijayo.

Huduma hii ni moja kati ya maendeleo yaliyokua yakisubiriwa na watanzania kwa muda mrefu sana hata hivyo kaimu master wa shirika hilo la posta tanzania Fortunatus Kapinga amesema kuwa huduma hiyo itaanza na kata 48 za Tanzania bara na kwa upande wa Zanzibar, Unguja kata 2 na pemba kata 4,Fortunatus kapinga aliendelea kusema “tumeanza na kata 48 kwa kuwa zimekamilika miundo mbinu yake” alisema kaimu posta master mkuu wa shirika hilo la posta Tanzania katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Tanzania.

 

Advertisement

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use