Program ya Android ya Tanzania Tech Yaja Hivi Karibuni 1

Program ya Android ya Tanzania Tech Yaja Hivi Karibuni

Hivi karibuni tegemea kuona App ya Tanzania Tech kwenye Play Store ikiwa ni mfululizo wa hatua ya kwanza wa kufanya kampuni ya media ya Ttech kujulikana Afrika Mashariki, Programu hiyo itakuja kwa wenye mifumo ya Android kwanza na baadae kuja kwa watumiaji wa iOS pia kwa kutumia sehemu maalumu iliyopo kwenye programu hiyo utaweza kutumia application hiyo bila kuwa na internet.

Hii ni habari njema kwa wapenda teknolojia wa afrika mashariki, hata hivyo application hiyo inategemewa kuingia sokoni tarehe 20 mwezi wa 4 2016.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Facebook F8 2
Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Facebook F8
Next Post
Laptop Bora 2016

Hizi Ndio Laptop Bora za Kununua Mwaka (2019)