Infinix na JBL Waungana Tena Na Sasa Ni Infinix Note 40
Infinix imeshirikiana na wataalamu wa sauti kuleta mapinduzi ya matumizi ya sauti katika simu za toleo la NOTE 40 na Sound by JBL
Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.