MD LG Azungumza na Mawakala Tanzania Kuhusu Teknolojia Vifaa vya LG 1

MD LG Azungumza na Mawakala Tanzania Kuhusu Teknolojia Vifaa vya LG

Kampuni ya LG imefanya kweli tena baada ya Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Ukanda wa Afrika Mashariki Bw Dongwon Lee kungoza watendaji na wafanyakazi wa kampuni hiyo katika Semina ya Mawakala (Dealers Seminar) ya aina yake Jijini Dar es Salaam.

MD LG Azungumza na Mawakala Tanzania Kuhusu Teknolojia Vifaa vya LG 2

Kupitia Semina hiyo ya Mawakala ambapo pamoja na mambo mengine mawakala hao walipewa mafunzo maalumu kuhusu teknolojia mpya za LG na baadaye wakashiriki katika kipindi cha maswali na majibu ambapo washindi walijinyakulia zawadi mbalimbai za kusisimua kutoka LG.

MD LG Azungumza na Mawakala Tanzania Kuhusu Teknolojia Vifaa vya LG 3

Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na Balozi wa Korea nchini Bw KIM, Sun Pyo na Balozi wa India nchini Bw Binaya Srikanta Pradhan.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Simu Mpya ya Infinix NOTE 30 Pro Yenye Sifa za Pekee 4
Simu Mpya ya Infinix NOTE 30 Pro Yenye Sifa za Pekee
Next Post
Simu Bora Kati ya Infinix NOTE 30 Pro vs Galaxy A34 (2023) 5

Simu Bora Kati ya Infinix NOTE 30 Pro vs Galaxy A34 (2023)