Popular Now
Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026 1

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra 2

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini 3

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini

Video Moja Application Kwaajili ya Kungalia Filamu za Africa Bure 4

Video Moja Application Kwaajili ya Kungalia Filamu za Africa Bure

Kwasasa namna ya upatikanaji wa filamu ni mkubwa sana hasa kutokana na kuongezeka kwa technolojia hata hivyo kampuni ya VysilHq Network hivi karibuni iliachia application yake itakayo kuwezesha kuangalia filamu za ki-Nigeria moja kwa moja kupitia simu yako.

Watengenezaji wa application hiyo yani VysilHq Network waliandika katika ukarasa wa application hiyo kuwa application hiyo bado iko katika majaribio lakini unaweza uka-ipakua moja kwa moja kutoka kwenye Play Store yani katika mfumo wa Android. Pia application hiyo iliyo pewa jina la “Video Moja” itakuwezesha kuangalia filamu mpya kabisa katika simu yako bila kulipia kiasi chochote cha pesa .

Hata hivyo bado haijajulikana kama application hiyo itakua itaonyesha pia na filamu za kitanzania ama la kwa taarifa zaidi tutaendelea kuwafikishia pindi zitakapo tufikia. Kama unataka kujaribu application hii unaweza kuipakua hapa kwa wale wanaotumia simu zenye mfumo wa Android.

Video Moja Application Kwaajili ya Kungalia Filamu za Africa Bure 5
The app was not found in the store. :-(

 

Previous Post
Facebook Yaomba Radhi kwa Kutuma Ujumbe wa Safe Check kwa Nchi Zingine 6

Facebook Yaomba Radhi kwa Kutuma Ujumbe wa Safe Check kwa Nchi Zingine

Next Post
Facebook Itasitisha Kutoa Huduma Zake kwa Watumiaji wa BlackBerry 7

Facebook Itasitisha Kutoa Huduma Zake kwa Watumiaji wa BlackBerry