in

Shina Zawadi Kibao Kupitia TECNO Spark 9 na CAMON 19

Fahamu kuhusu promosheni ya Zigo la Disemba ya TECNO

Shina Zawadi Kibao Kupitia TECNO Spark 9 na CAMON 19

Je unauonaje msimu wa sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya? Umeshajua ni zawadi gani utampa umpendae au kujizawadia mwenyewe kwa kumaliza Mwaka 2022 ukiwa salama, basi ukiwa unatafakari naomba nikusogezee habari nyeti kutoka Kampuni ya simu TECNO. TECNO imekujia na Zigo la Disemba ndani ya Mwezi huu wote ukinunua simu zao unajishindia Pikipiki na zawadi nyengine kibao.

Kampuni ya simu TECNO ilizindua rasmi promosheni ya Zigo la Disemba tarehe moja ya mwezi huu hadi sasa wateja wa TECNO wameweza kujishindia TECNO Camon 19 na Spark 9 katika week ya kwanza ya promosheni hii lakini pia wameingia katika droo kubwa la Mwisho wa Mwezi la kushindania Pikipiki.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Shina Zawadi Kibao Kupitia TECNO Spark 9 na CAMON 19

Wateja ambao wanapata nafasi yakujishindia zawadi hizi ni wale wanao nunua TECNO Camon 19 au Spark 9 ndani ya kipindi hiki cha promosheni ya Zigo la Disemba, vile vile zawadi nyengine kama earphone, Mabegi na Miamvuli yenye nembo ya TECNO hutolewa papo hapo.

Nunua TECNO Camon 19 au Spark 9 ufurahie uwezo mkubwa wa camera ya MP64, battery ya mAh5000 na kioo kipana chenye kuchukua matukio mahiri ya picha na video katika msimu huu wa sikukuu.

Shina Zawadi Kibao Kupitia TECNO Spark 9 na CAMON 19

Tembelea maduka yote ya simu yenye promosheni Dar es Salaam na Mikoani ili kujishindia zawadi tajwa. Au wasiliana nao kupitia 0744545254, 0678035208 au tembelea @tecnomobiletz twitter, @tecnomobile facebook au @tecnomobiletanzania IG.

Shina Zawadi Kibao Kupitia TECNO Spark 9 na CAMON 19
Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Infinix Kimataifa Yatwaa Tuzo 7 Katika Maonyesho Ya Ces 2024

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.