in ,

Promosheni ya Hitimisho ya Infinix NOTE 10 Big Mnyama

Utapata Infinix NOTE 10 kwa TZS 430,000 Badala ya TZS 530,000

Promosheni ya Hitimisho ya Infinix NOTE 10 Big Mnyama

Kampuni ya simu Infinix yatanguliza shukrani zake kwa mapokeo mazuri ya promosheni ya Infinix NOTE 10 ambapo jumamosi hii ndio hitimisho la promosheni hii.

Infinix itakita kambi katika maduka ya simu kariakoo kwa siku nzima ambapo Infinix itafanya punguzo la bei kwa simu za Infinix NOTE 10 na NOTE 10 pro pamoja na zawadi ya blenda, jagi la umeme kutolewa papo hapo kwa wateja wa NOTE 10 na baadhi ya zawadi kama music system zitatolewa kwa mfumo wa bahati nasibu.

lakini pia kwa siku hiyo Infinix NOTE 10 itapatikana kwa bei punguzo badala ya kulipia TZS 530,000 utaipata kwa TZS 430,000 na NOTE 10 pro utaipata kwa TZS 550,000 badala ya kulipia TZS 700,000.

Promosheni ya Hitimisho ya Infinix NOTE 10 Big Mnyama

Afisa Mahusiano Infinix, Aisha Karupa amesema, “katika simu ya mwisho ya promosheni ya NOTE 10 Big mnyama tumeamua kufanya punguzo kubwa ili kila mwenye Nia basi huu ni wakati sahihi wakuimiliki simu hiyo ambayo inafanya vizuri sokoni kutokana na uwezo wa kumudu application zenye ujazo mkubwa”.

Usinunue Simu ya Android au iPhone ya Zamani

Promosheni ya Hitimisho ya Infinix NOTE 10 Big Mnyama

Infinix NOTE 10 na NOTE 10 pro zilizinduliwa mapema mwezi May nchini Tanzania na sifa kuu ya simu hizi ni ufanisi wa G95 processor na kamera ya MP64 na teknolojia ya 4K video resolution ambayo ndio teknolojia bora kwa sasa katika kutengeneza filamu.

Kwa punguzo na zawadi mbalimbali kutoka Infinix bila ya kukosa tembelea maduka ya simu kariakoo.

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.