in

Jinsi ya Kutengeneza Studio ya Muziki Kupitia Simu

Kupitia njia hii utaweza kuweka Mixer kwenye simu yako ya Android

Jinsi ya Kutengeneza Studio ya Muziki Kupitia Simu7:21

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanapendelea muziki na kama unataka kutengeneza studio ya muziki kupitia simu yako ya Android basi makala hii ni maalum kwa ajili yako.

Kupitia makala hii ambayo ni sehemu ya kwanza nita onyesha jinsi ya kuwa na Mixer kwenye simu yako ya Android. Kumbuka hii ni sehemu ya kwanza na tutaendelea hadi kufikia hatua ya kuwa na studio ndogo kwenye simu yako na niamini kuwa hii inafanya kazi kwa asilimia 100.

Basi bila kupoteza muda moja kwa moja twende kwenye makala hii, kitu cha muhimu hakikisha unafuatilia hadi mwisho ili kuweza kujua jinsi ya kufanya setup.

Baada ya kufuata maelezo yote hayo hapo juu unaweza kupakua app kupitia link hapo chini na kisha jaribu njia hii moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi ya Android.

Download App Hapa

Kwa kufuata hatua zote hapo juu natumaini utakuwa umeweza kuwa na mixer kwenye simu yako ya mkononi ya Android. Kama una maoni au kuna mahali umekwama unaweza kuuliza kupitia sehemu ya maoni hapo chini.

Kama unataka kujua zaidi unaweza kusoma hapa jinsi ya kutengeneza beat kupitia simu yako ya mkononi ya Android, bofya hapa kujua zaidi.

Simu Yako Ina GB 16.? Ongeza Storage Kwa Kutumia Njia Hii

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.