Jinsi ya Kutumia Smartphone Yako Kama Microphone

Jifunze jinsi unavyoweza kutumia smartphone yako mic
Jinsi ya Kutumia Smartphone Yako Kama Microphone Jinsi ya Kutumia Smartphone Yako Kama Microphone

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanahitaji kutumia microphone kwa sasa basi huenda njia hii ikakusaidia sana. Kupitia hapa nitaenda kuonyesha njia rahisi ambayo unaweza kutumia badilisha simu yako ya Android na kutumia kama Microphone.

Njia hii ni nzuri na rahisi na inaweza kufanya kazi kwenye simu zote za iPhone pamoja na Android, unacho takiwa kufuata maelezo hapo chini na moja kwa moja utaweza kubadilisha simu yako ya Android au iOS kuwa kama microphone, basi bila kupoteza muda twende tukajifunze njia hii.

Advertisement

Download app ya WO Mic (Android) kupitia link hapo chini hakikisha una fuata maelezo yote hapo juu kabla ya kupakua app hii.

Download App Hapa (Android)

Kama unatumia simu yenye mfumo wa iOS unaweza kupakua app hapo chini na install kwenye simu yako au iPad yako. Hatua nyingine zote zinafanana kwa watumiaji wa Android na iOS.

Download App Hapa (iOS)

Pai hakikisha unapakua mfumo wa WO Mic kupitia Link Hapa kama nilivyo elekeza kwenye video hapo juu. Kumbuka unaweza kurusha sauti kutoka kwenye simu yako kwenda kwenye kipaza sauti endapo programu hizi zote zimewekwa kwenye vifaa vyako kwa usahihi.

Kama unataka kujifunza zaidi, unaweza kusoma hapa kujua jinsi nilivyoweza kutengeneza zaidi ya milioni ishirini mtandaoni, pia kama unataka kujifunza zaidi hakikisha una tembelea channel yetu ya Tanzania Tech kupitia YouTube ili uweze kujifunza zaidi kwa undani.

1 comments
  1. Nilikua nauliza nimesoma jinsi ya kuzuia hack kwenye twitter kuna mtu aka niambia ina weza hack kupitia by pass iii ikoje natanguliza shukurani zangu kwako brother

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use