Counterpoint : TECNO Yaishinda Samsung Mwaka 2020

TECNO imechukua nafasi ya kwanza kama simu bora Afrika kwa mwaka 2020
Counterpoint : TECNO Yaishinda Samsung Mwaka 2020 Counterpoint : TECNO Yaishinda Samsung Mwaka 2020

Utafiti wa soko la teknlojia, uliofanya na kampuni ya utafiti ulimwenguni inayojishughulisha na bidhaa katika tasnia ya teknolojia ya vyombo vya habari na mawasiliano ya simu.

Mwishoni mwa mwezi wa nne ilitoa report ikionyesha kuwa kampuni ya simu TECNO imechukua nafasi ya kwanza kama simu bora Afrika kwa mwaka 2020 baada ya kuipindua kampuni ya simu Samsung na hii ni kufuatia uzalishaji wa simu za TECNO kuwa na viwango vya kuridhisha na kwa bei rafiki.

TECNO imefanikiwa kuwa kinara kufuatia tathmini la anguko Kwa asilimia 6.7% katika usafarishaji wa simu janja barani Afrika mnamo mwaka 2020. Uharibifu mkubwa ulifanyika katika nusu ya kwanza ya Mwaka kwa sababu ya usumbu wa usambazaji uliosababisha na COVID-19, nakupekea uhitaji kuwa mkubwa katika nusu ya pili.

Advertisement

Akizngumza juu ya mienendo ya soko, Mchambuzi Muandamizi Yang Wang alisema, kuangalia mwaka mzima soko la simu janja Afrika katika mikoa yake lilifanya vizuri lakini haikuweza kupigana na uharibu ulioletwa na COVID-19.

Robo ya pili ya Mwaka 2020 ulikuwa mgumu zaidi baada ya uhitaji kuwa mkubwa lakini nchi nyingi zilikuwa zinapitia sheria ya kujifungia/lockdown. Usafirishai wa simu janja wakati wa robo ya pili ulisababisha kushuka kwa tathini ya asilimia 27%.

:Taarifa za shirika la usafirishaji wa simu janja Afrika 2020

Counterpoint : TECNO Yaishinda Samsung Mwaka 2020

:Chanzo: Counterpoint Research Market Monitor.

Wang aliongeza, vizuizi vilianza kushuka mwezi Julai. Mahitaji yalifuata vivyo hivyo na kuongezeka kwa shughuli za uendelezaji, hata wakati kesi za COVID-19 zilipanda juu kuelekea msimu wa ununuzi Christmas. Robo ya 4 kwa Mwaka 2020 ilitoa faida ya asilimia 1.5% kwa maeneo na kuwa robo bora zaidi kwenye kumbukumbu.

Kulingana na report, TECNO ilikuwa namba moja katika mwaka 2020 licha ya kuwa soko la simu liliyumba barani Afrika kutoka na janga la COVID-19 hali ilipoanza kuwa shwari TECNO ilifanya vizuri sokoni kutokana na uzalishaji wa simu bora kwa bei rafiki.

TECNO iko tayari kupata faida zaidi kwa 2021. Samsung imeona soko lake likishuka kutokana na mvurugiko wa usambazaji mapema mwanzoni mwa Mwaka, Samsung zenye bei ya kati kuonyesha hali ya mafanikio mbeleni.

TECNO imekuwa kwa kasi barani Afrika na kufikia hadi nchi 60 na zaidi barani Asia, Latini America na Middle East katika miaka ya hivi karibuni huku lengo lake kuu likizingatiwa kwa uendaji sambamba na teknolojia katika bidhaa mpya na kufikia vijana zaidi.

Mabadiliko makubwa yameonyeshwa na TECNO CAMON na TECNO Spark Series zilizozinduliwa mnamo mwaka 2020 na kuzingatia teknolojia katika mfumo wa camera. Shukrani kwa vituo kadhaa vya utengenezaji kote Asia na Afrika.

Kwa report nzima tembelea  counterpoint.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use