Tengeneza Tovuti ya Kibiashara au Blog Bure (2021)

Njia hii ni bora kama wewe ndio una anza kwa mara ya kwanza kuwa na tovuti
Tengeneza Tovuti ya Kibiashara au Blog Bure (2021) Tengeneza Tovuti ya Kibiashara au Blog Bure (2021)

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanataka kumili website pangine iwe website ya biashara au website ya aina yoyote basi nakukaribisha usome na kuangalia makala hii.

Kupitia makala hii nitakuonyesha njia rahisi ambayo unaweza kutumia kutengeneza tovuti bure kabisa na pia utaweza kutumia tovuti hiyo bure kwa muda wowote bila kulipia. Kama unataka kujua zaidi unaweza kuangalia mifano hapo chini.

Najua kuna wakati unahitaji kuwa na tovuti yenye domain lakini unakuwa huwezi kutokana na kutokuwa na pesa za kutosha kuweza kununua domain hiyo na Hosting. Leo tunakuletea #Maujanja jinsi ya kuweza kutengeneza tovuti ya bure kwa kutumia domain yako ya bure na utaweza kuitumia tovuti hiyo kwa muda wowote utakao penda.

Advertisement

Kwa kuanza unatakiwa kutengeneza domain yako ya bure ambayo unaweza kuipata kwa kupitia link hapo chini.

Tengeneza Domain ya Bure

Pia ili kufanya blog yako iwe bure sana kwa muonekano unaweza kupata Template za bure kabisa kwa asilimia 100 kwa kutembelea link hapo chini.

Pakua Template za Bure

Kama unataka kuona mifano ya Website ambazo nilitengeneza bure kabisa kwa kutumia njia hii unaweza kuangalia hapo chini kwa kubofya link husika.

Mfano wa Tovuti ya Kibiashara

Mfano wa Tovuti ya Blog

Kwa kufuata hatua zote hizi hapo juu utakuwa umeweza kutengeneza website au tovuti bure kabisa bila kulipia gharama yoyote. Njia hii ni bora sana kama unaanza kwa mara ya kwanza kwenye kuingia kwenye mtandao. Kama unataka kujifunza zaidi unaweza kusoma hapa kujua jinsi ya kutengeneza soko la mtandaoni kwa kutumia blogger.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use