in

Video : Ugumu na Ubora wa Samsung Galaxy Z Fold 2

Bei ya Samsung Galaxy Z Fold 2 ni takrbani TZS 4,700,000 Je simu hii ina ubora..?

Video : Ugumu na Ubora wa Samsung Galaxy Z Fold 2

Samsung Galaxy Z Fold 2 ni jaribio la pili la Samsung kutengeneza simu inayojikunja kwenye kioo, nasema jaribio kwa sababu ni wazi kuwa simu hizi bado hazijawa na ubora wa hali ya juu kiasi cha mtanzania kuweza kutumia.

Hii inatokana na hali yetu watanzania wengi hasa kutokana na kazi tunazofanya pamoja na hali nyingine mbalimbali ambapo ni lazima simu ziwe na uwezo mzuri ili kuweza kukizi matumizi hapa nchini. Kifupi ni kuwa hapa Tanzania wengi wetu tunatumia simu ambazo ni ngumu kidogo na jinsi Galaxy Z Fold 2 ilivyo sidhani kama inakidhi mahitaji yetu kwa sasa. Angalia video hapo chini kujua ugumu na ubora wa simu hii mpya inayojikunja kutoka Samsung.

Nini maoni yako..? Unadhani simu hii inafaa kutumika hapa nchini Tanzania.? Je wewe ungenunua na kutumia simu hii. Tuambie kwenye maoni hapo chini.

Fahamu eSIM Mfumo Mpya wa Laini za Simu za Kidigitali

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.