Download Programu ya Microsoft Office 2019 Pro Plus

Ndani ya programu hii kunayo MS Word, MS Excel, MS Powerpoint, MS Outlook na nyingine
Download Programu ya Microsoft Office 2019 Pro Plus Download Programu ya Microsoft Office 2019 Pro Plus

Ikiwa tunazungumzia programu bora kwaajili ya ofisi ni wazi kuwa programu ya Microsoft Office ni programu bora sana kwako, programu hii inakuja na uwezo mkubwa sana wa kusaidia mtu ambaye anafanya kazi kwenye ofisi, au hata kama wewe ni mwanafunzi programu hii ni bora sana kwako.

Kuliona hili leo nimekuletea makala ambayo itakusaidia sana kuweza kupata programu ya Microsoft Office 2019 Pro Plus, ambayo imesheheni sifa nyingi sana bure bila kulipia gharama yoyote. Kumbuka hili ni toleo la Pro Plus hivyo limesheheni sifa zote za programu ya Microsoft Office. Baadhi ya programu ambazo zipo ndani ya toleo hili ni pamoja na –

  • Microsoft Word
  • Microsoft Excel
  • Microsoft Powerpoint
  • Microsoft Outlook
  • OneNote
  • OneDrive
  • Microsoft Teams

Kwa kuanza ni vyema kufahamu kuwa programu hii ni kwa ajili ya kompyuta za Windows na inafanya kazi kwenye kompyuta yako ikiwa kompyuta yako inayo spefication au sifa zifuatazo.

Advertisement

  • Operating System: Windows 7, Windows 8, & Windows 10
  • Processor:  Processor ya Core i3, yenye uwezo wa hadi 1.6 GHz speed, 2-core.
  • RAM: RAM ya GB 2 kwa 32 Bit System au GB 4 kwa 64 Bit.
  • Disk Space: Nafasi inayo hitajika kwenye kompyuta yako angalau GB 4.
  • .Net Version: .Net 3.5 or 4.6.

Baada ya kuhakikisha yote hayo yao kwenye kompyuta yako basi ni wakati wa kuendelea kwenye hatua inayofuata, ambapo hakikisha una bando kwenye kompyuta yako. Kisha sasa bofya link hapo chini kuweza kupakua toleo hilo.

Update : Kutokana na watu wengi kushindwa kupakua toleo hilo nimeoa nikuwekee hapa maelezo ya nini unatakiwa kufanya. Unapokuwa kwenye ukurasa wa kudownload bofya sehemu ya Direct Download kama inavyo onekana kwenye picha hapo chini.

Download Programu ya Microsoft Office 2019 Pro Plus

Pakua Microsoft Office Hapa

Kama unataka kuinstall toleo hili ni rahisi sana hakikisha unafuata maelezo yaliyopo ndani ya programu hiyo mara baada ya kupakua toleo hilo jipya la Microsoft Office. Kujifunza zaidi unaweza kusoma hapa kujua jinsi ya kuinstall mfumo wa Windows kwenye kompyuta yako kwa urahisi.

3 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use