in

Kamera ya Samsung Gear 360 Sasa Ikotayari Kutoka

Kamera ya Samsung Gear 360 Sasa Ikotayari Kutoka

Baada ya uzinduzi uliofanyika huko Barcelona kwenye tamasha lijulikanalo kama Mobile World Congress sasa kampuni ya samsung iko tayari kuachia kamera yake ya Samsung Gear 360, kamera hiyo ilio zinduliwa kwenye mkutano huo wa Mobile World Congress sasa imetangazwa kutoka mwezi huu April tarehe 29.

Hata hivyo mpaka sasa haijajulikana kwamba kamera hiyo itauzwa kwa bei gani, kamera hiyo mabyo inakuja na kamera mbili ambazo kila kamera inauwezo wa kuchukua video mpaka fremu 3,840 x 1,920 ambapo ni karibia na video za teknolojia ya 4K . Hata hivyo kamera hiyo inauwezo wa kutumiaka na kifaa cha Samsung Galaxy s7  maarufu kama Gear VR, kamera hiyo inakuja na Megapixel 30 kwa kila camera ilitoko kwenye kifaa hicho cha Samsung Gear 360.

Fahamu eSIM Mfumo Mpya wa Laini za Simu za Kidigitali

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.