in ,

OpenAI Mbioni Kuingiza Takribani Dola Bilioni 1 Kwa Miezi 12

Mapato ya OpenAI yanazidi kukua siku hata siku.

OpenAI Mbioni Kuingiza Takribani Dola Bilioni 1 Kwa Miezi 12

Tangu kuanza kwa mbio za maendeleo ya mifumo ya akili bandia, kampuni ya OpenAI, ambayo ndiyo iliyotengeneza mfumo maarufu wa ChatGPT imekuwamstari wa mbele kuongoza mbio hizo, huku pia ikiwa ni moja ya wafaidika wakubwa na mapato ya teknolojia hii ya Akili bandia.

OpenAI tayari inatajwa kuwa na thamani ya taribani Dola za Kimarekani Bilioni 29 sawa na Takribani Trilioni 72,5 za kitanzania.OpenAI Mbioni Kuingiza Takribani Dola Bilioni 1 Kwa Miezi 12

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Mwaka uliopita, kampuni hiyo iliingiza mapato ya Dola za kimarekani Milioni 28 lakini katika mwaka huu, tayari wanakusanya mapato ya Dola za Kimarekani Milioni 80 kwa mwezi, ili hali matarajio yao kwa mwaka huu yalikuwa Dola za Kimarekani Milioni 200.

Ongezeko hilo la mapato limechangiwa na kuongezeka kwa matumizi ya mfumo wa akili bandia wa ChatGPT, ambao ndio bidhaa nahudumayao kubwa kwa sasa hivi, pamoja na kuuza mifumo mbalimbali ya taarifa kwa makampuni na mashirika ya kiteknolojia ambayo yanaamini maendeleo katika uchakataji wa taarifa kwa mifumo ya akili bandia (Artificial Intelligence) ambayo ndio muelekeo wa sasa katika ulimwengu wa teknolojia.

Apps Nzuri Kwaajili ya Kupakua Video za Aina Yoyote

Written by Joshua Maige

Joshua Maige is an accomplished technology journalist who thrives on exploring the ever-evolving landscape of innovation and its impact on society.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.