in

App ya ChatGPT Inapatikana Kwa Watumiaji wa Android

Sasa unaweza kutumia mfumo wa Akili badindia wa ChatGPT kwenye simu yako ya Android

App ya ChatGPT Inapatikana Kwa Watumiaji wa Android

Kama wewe umekua ni mtumiaji wa ChatGPT, habari njema ikufikie kwani sasa unaweza kutumia app ya chatGPT moja kwa moja kupitia simu yako ya Android.

Kwa mujibu wa OpenAI, app ya chatGPT inafanya kazi kama ilivyo tovuti lakini sasa utaweza kutumia mfumo huo wa AI kwa urahisi zaidi.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

App ya ChatGPT Inapatikana Kwa Watumiaji wa Android

Hapo awali chatGPT ilianza kupatikana kama app kwa watumiaji wa mfumo wa iOS, ambapo app hiyo imekuwa inapatikana kwa watumiaji hao kwa zaidi ya miezi mitatu sasa.

Kwa sasa zipo app nyingi kwenye soko la Play Store ambazo zinadai kuwa ni app za ChatGPT hivyo basi unaweza kupakua app hiyo moja kwa moja kupitia link hapo chini.

ChatGPT
Price: Free

Download Hapa

Kama wewe ni mtumiaji wa mfumo wa iOS au kama unatumia simu ya iPhone unaweza kupakua app hii kupitia link hapo chini.

‎ChatGPT
Price: Free+

Download Hapa

Kama wewe ni mwanafunzi, mfanyakazi au mtu mwingine unayetumia mitandao mara kwa mara basi ni vyema kuongeza app hii kwenye list ya app nzuri unazotumia mara kwa mara kwenye simu yako ya Android. Kama unataka kujua zaidi unaweza kusoma hapa kujua zaidi kuhusu mfumo wa akili bandia wa Google yaani Google Bard.

Apps Nzuri Kwaajili ya Kupakua Video za Aina Yoyote

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.