in

Apps Nzuri za Kujaribu Kwenye Simu Yako Mwezi #April

Kuna App bora za mitandao ya kijamii na app nyingine nzuri sana

Apps Nzuri za Kujaribu Kwenye Simu Yako Mwezi #April13:23

Kama wewe ni mpenzi wa Apps nzuri basi ni wakati mwingine wa kujaribu apps hizo kwenye simu yako yako ya Android. Kupitia makala hizi za Apps nzuri utaweza kujua app mpya kabisa ambazo unaweza kujaribu kwenye simu yako na kuweza kufurahia.

Kupitia sehemu ya kwanza ya apps nzuri siku ya leo nimekuletea list ya apps nzuri ambazo zinaweza kukusaidia kwa namna moja ama nyingine kuweza kutumia simu yako ya Android kwa urahisi zaidi na pia kufanya ufurahie simu yako zaidi. Basi bila kupoteza muda twende tukangalie apps hizi.

LINK MAALUM

1. Download App ya AmoledWalls Hapa

2. Download App ya AppsFree Hapa

3. Download App ya Canva Hapa

4. Download App ya Night Owl Hapa

5. Download App ya TikTok Hapa

6. Download App ya Video Downloader Hapa

7. Download App ya VideoShow Hapa

8. Download App ya Water Drink Reminder Hapa

Na hizo ndio apps nzuri nilizokuandalia kwa siku ya leo, unaweza kudownload apps hizo kupitia link hapo juu, bofya hapo na utapelekwa moja kwa moja kwenye soko la Play Store kwa ajili ya kudownload apps hizi. Kama unataka apps nyingine nzuri unaweza kusoma hapa kujua apps nzuri ambazo zitakusaidia sana kwenye Afya yako.

Hizi Hapa Apps Nzuri za Android Kwaajili ya Wanafunzi

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

One Comment