in

Sunday Movie #14 Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili

Hii hapa movie nzuri ya kuangalia siku ya jumapili ya tarehe 13/12/2020

Sunday Movie #14 Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili0:47

Habari na karibu kwenye kipengele cha sunday Movie #14, wiki iliyopita hatukua na kipengelea hichi kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu. Kama wewe ni mpenzi wa kipengele hichi unaweza kutoa maoni hapo chini kama unataka tuendelee na kipengele hichi.

Kwa siku ya leo nakurudisha nyuma kidogo mwaka 2018 na hii ni moja ya filamu nzuri sana ambayo unaweza kufurahia kuangalia siku ya leo. Unaweza kuangalia Trailer kupitia hapo chini.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Kama umependa movie hii unaweza kupakua kupitia hapo chini, kama kawaidia kumbuka link hizi zinaweza kuondolewa muda wowote hivyo hakikisha unapakua sasa kama wewe ni mpenzi wa filamu.

Pakua 480p (MB 551)

Pakua 720p (GB 1.2)

Kama unataka movie zaidi unaweza kusoma hapa kujua movie nzuri ya sunday movie #13 iliyopita kwa wiki zilizopita. Mpaka siku nyingine nakutakia Jumapili njema yenye baraka!

Sehemu Bora za Kupata Mkopo wa Smartphone

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.