in

Shiriki Kwenye Utafiti Huu Kupata Nafasi ya Kushinda $100

Saidia kukuza teknolojia kwa kufanya utafuti huu

Shiriki Kwenye Utafiti Huu Kupata Nafasi ya Kushinda $100

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanaitaji mtaji wa haraka hasa kwenye biashara ya mtandaoni au hata kama unahitaji mtaji wa biashara yoyote na unaujuzi wa teknolojia basi makala hii ni kwa ajili yako.

Tanzania Tech kwa kushirikiana na kampuni ya utafiti inakuomba msaada wako kwa kushiriki kwenye utafiti wa teknolojia barani Afrika. Utafiti huu unasaidia kuwezesha kampuni mbalimbali kuelewa njia bora za kuwekeza na kuanzisha biashara zinazo endana na teknolojia barani Afrika.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanahusika na maswala ya teknolojia kwa namna yoyote basi unaweza kushiri kwenye utafiti huu na kupata nafasi ya kuweza kusaidia teknolojia kukua zaidi barani Afrika.

Shiriki Kwenye Utafiti Huu Kupata Nafasi ya Kushinda $100

Unachotakiwa kufanya ni kujibu maswali kwa kuchagua jibu sahihi ndani ya fomu maalum mtandaoni, kitu cha msingi ni kuhakikisha unajibu maswali hayo kwa usahihi na kwa ujuzi wako. Ni muhimu kujibu maswali yote kwani kwa kufanya hivi ndio utaingia moja kwa moja kwenye kinyanganyiro cha kushinda dollar 100 kwa mtu mmoja.

Kitu cha muhimu ni kuhakikisha unajibu maswali yote kwa usahihi na pia unajibu maswali yote hadi mwisho. Baada ya kufanya hivyo, mwisho wa utafiti huo soma maelezo na utakuwa uko kwenye nafasi ya kujishindia dollar 100. Unaweza kubofya link hapo chini kuweza kushiriki kwenye utafiti huo.

BOFYA HAPA KUSHIRIKI KWENYE UTAFITI HUU

Kampuni ya Oraimo Waleta "Slide Into Your World"

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.