in

Maujanja ya Jinsi ya Kutumia Simu Yako ya Android Kikamilifu

Hizi hapa njia mpya za kutumia simu yako ya Android

Maujanja ya Jinsi ya Kutumia Simu Yako ya Android Kikamilifu9:30

Kama wewe ni mmoja wa watu wenye simu za Android basi ni vyema kufahamu kuwa zipo njia ambazo inawezekana ulikuwa huzijui za kutumia simu yako ya Android kikamilifu. Leo kupitia makala hii nitaenda kuonyesha njia mbalimbali ambazo na uhakika zitaweza kufanya uweze kutumia simu yako kwa urahisi.

Kwa kuanza unahitaji tu simu yako ya Android na uhitaji data wala kuinstall application yoyote, kitu cha pekee cha kujua ni kuwa njia hizi zinatofautiana kwenye kila simu hivyo kama simu yako haitoweza kufanya njia hizi basi unaweza kutuandikia kupitia kwenye maoni hapo chini nasi tutakupa njia nyingine ambayo unaweza kutumia kwenye simu yako.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Mpaka hapo natumaini umejua njia mpya za kutumia simu yako ya Android, kama una tatizo lolote kwenye njia hizi unaweza kutuandikia kupitia sehemu ya Maoni hapo chini. Kwa maujanja mengize zaidi unaweza kusoma hapa kuweza kujua maujanja mbalimbali ya app ya Google Chrome.

Jinsi ya Kuzuia Mtu Kuona Jina Lako Kwenye Truecaller

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

4 Comments