in

Jinsi ya Kutengeneza Dollar $5 Kila Siku kwa Kutumia Smartphone

Unaweza kutengeneza pesa zaidi kama utakuwa una bidii

Jinsi ya Kutengeneza Dollar $5 Kila Siku kwa Kutumia Smartphone8:32

Karibuni kwenye maujanja jumapili ya leo, Leo naenda kushirikiana na nyie njia mpya ambayo itaenda kusaidia kutengeneza dollar $5 ambayo ni sawa na Tsh 11,800 kila siku. Kumbuka kuwa njia hii inafanya kazi kwa asilimia 100, lakini kama zilivyo kazi zingine hata hii inahitaji bidii kila siku.

Kupitia maujanja haya utaweza kuonda njia zote ambazo mimi nilitumia kupata pesa mtandaoni na kama unavyojua hatuwezi kuonyesha njia yoyote ambayo hatuja jaribu wenyewe na kuhakikisha inafanyakazi kwa asilimia zote. Hivyo basi njia hii ninayo kuonyesha tumejaribu kwa muda mrefu na kuona kuwa inaweza kukusaidia hasa kupata kipato cha kawaida cha kila siku.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Kwa kufuata hatua hizo natumain sasa umeweza kutengeneza angalau dollar 5 au zaidi kwa kutumia njia hii. Tovuti iliyotajwa kwenye video hapo juu inapatikana HAPA. Kwa maujanja zaidi endelea kutembelea Tanzania tech kila siku. Kama unataka kujua jinsi ya kutengeneza akaunti ya paypal unaweza kusoma hapa.

Tengeneza Pesa Mtandaoni Kupitia Simu Yako (2023)

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

16 Comments

  1. Habari Tanzania Tech, kwanza nawashukuru sana kwa namna mnavyotupa maujanja ya kiteknolojia. Tatizo langu, nimejisajiri kwenye website ya “get – paid.com” kwa kufuata maelekezo yenu. Ninapo click kwenye coins naambiwa “connection country error”. Tafadhali naomba msaada wenu jinsi ya kutatua tatizo hili. Asante.