in

Telegram Yaja na App Mpya ya Android ya Telegram X

Telegram imekuja na App mpya kwaajili ya majaribio Telegram X

telegram-x

Kampuni ya telegram kupitia tovuti yake hivi karibuni imetangaza ujio wa App yake mpya ya Telegram X kwaajili ya watumiaji wa Android. App hiyo mpya mbayo ni sehemu ya majaribio tayari iko Play Store na unaweza kuipakua sasa.

Telegram imendika kwenye ukurasa wake kuwa App hiyo mpya ya Telegram X ni sehemu ya majaribio na app hiyo ina ubora zaidi ukilinganisha na app ya kawaida ya Telegram.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Kwa sasa tayari app hiyo imesha pakuliwa mara zaidi ya 100,000 – 500,000 tangu kutoka kwake hapo january 31 mwaka huu 2018. App ya Telegram X inayo utofauti kubwa na Telegram ya zamani kwani sasa ime ongezewa vitu vingi ikiwa pamoja na muonekano mpya kabisa.

Unaweza ukapakua sasa App hiyo ya Telegram X kupitia hapo chini, bofya hapo kisha utapelekwa kwenye ukurasa maalum kwenye ukurasa wa Play Store.

Telegram X
Price: Free

Kwa habari zaidi za teknolojia hakikisha una download App yetu mpya ya Tanzania Tech kupitia Play Store na vilevile tembelea channel yetu ya Tanzania Tech kupitia Youtube ili uweze kujifunza zaidi mambo yote ya teknolojia kwa njia ya Video.

App ya ChatGPT Inapatikana Kwa Watumiaji wa Android

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

One Comment