in

Hizi Hapa TV Bora za Inch 40 na 42 Kwa Mwaka (2018)

Hizi ni Baadhi tu ya TV ambazo ni Bora Ndani ya Mwaka huu 2016

TV 40 and 42 Inch

Kwa sasa TV zinaonekana kuingia katika level nyingine kabisa ukizingatia siku hizi kuna TV zinazotumia teknolojia za kisasa kama zile za 4K na Ultra HD pia ukubwa wa screen umeonekana kuongezeka kwa kasi kwani sasa kuna inch 50 na 52 ambazo kwa kawaida hizi ndio TV za mwisho kabisa kwa ukubwa, lakini ukiwa unatafuta televisheni ambayo haita maliza ukuta wako na yenye muonekano na ukubwa wa kustaili basi unasoma makala sahihi kwani leo tanzania tech inakuletea televisheni tano bora za inch 40 na 42 mwaka huu yani 2016 hayaa! basi twende tukazichek televisheni hizi za kisasa.

 

Install Android App
Price: Free
 • Nyimbo Mpya Screenshot
 • Nyimbo Mpya Screenshot
 • Nyimbo Mpya Screenshot
 • Nyimbo Mpya Screenshot
 • Nyimbo Mpya Screenshot
 • Nyimbo Mpya Screenshot

Panasonic TX-40CX680B

1-650-80

Sifa

 • Screen size: 40-inches
 • Tuner: Freeview HD
 • Resolution: 3840 x 2160
 • Panel technology: LED
 • Smart TV: Firefox OS
 • Curved: No
 • Dimensions: 560 x 904 x 202 mm

Maelezo

TV kutoka panasonic inatumia teknolojia mpya ya 4K kiasi kwamba inauwezo wa kukupatia picha angavu na kiukweli muonekano wake pia si haba.

 

Samsung UE40F6400

Samsung UE40F6400_1-650-80

Sifa

 • Screen size: 40-inches
 • Tuner: Freeview HD and FreeSat HD
 • Resolution: 1920 x 1080
 • Panel technology: LED
 • Smart TV: Smart Hub
 • Curved: No
 • Dimensions: 617 x 928 x 265

Maelezo

Japo kua hailingani na TV mpya za samsung za sasa lakini bado TV hii ni bora kwa upande wa picha, na pia TV hii inakuwa bora zaidi kutokana na remote yake kuwa ni ya kugusa ua kutouch pia uwezo wa TV hii kutumia Samsung Galaxy gadget unafanya Tv hii kuwa bora na ya ukweli kwa sebule yako.

 

Panasonic TX-40DX6006-650-80

Sifa

 • Screen size: 40-inches
 • Tuner: Freeview HD
 • Resolution: 3840 x 2160
 • Panel technology: LED
 • Smart TV: Firefox OS
 • Curved: No
 • Dimensions: 49 x 904 x 518 mm

Maelezo

Hii ni Tv nyingine ya panasonic ambayo inayo uwezo wa kuonyesha picha zinazotumia teknolojia ya 4k TV hii ina menu iliyopangiliwa sana kiasi cha kufanya TV hii kuwa bora kabisa na pia TV hii inayo programu maalumu ambayo itakuwezesha kuangalia filamu na tamthilia za Netflix na Amazon Prime Instant Video.

 

Samsung UE40H6400

Angle-2-650-80Sifa

 • Screen size: 40-inches
 • Tuner: Freeview HD
 • Resolution: 1920 x 1080
 • Panel technology: LED
 • Smart TV: Smart Hub
 • Curved: No
 • Dimensions: 598 x 918 x 267 mm

Maelezo

TV hii inasifika kwa kuweza kuonyesha picha bora sana ambapo mpaka samsung wanasema huwenda TV hii ikawa ya kipekee iliyofunja recodi ya kupendwa na watu wengi.

 

Toshiba 40L3453DB

Toshiba40L3453DB - Front1_1-650-80

Sifa

 • Screen size: 40-inches
 • Tuner: Freeview HD
 • Resolution: 1920 x 1080
 • Panel technology: LED
 • Smart TV: Cloud TV
 • Curved: No
 • Dimensions: 603 x 933 x 249mm

Maelezo

Tumewazoea hawa jamaa kwenye upande wa laptop na vitu vingine lakini kama ulikua hujui pia wanatengeneza TV zenye ubora wa hali ya juu kuanzia picha ukubwa mpaka sauti kikubwa ni kwamba bei ya TV hii ni cheap sana mtu yeyote anaweza kuimudu.

Kwa kupata habari zaidi unaweza kuungana nasi kupitia barua pepe (email) na tutakujulisha pindi tu habari mpya itakapo ingia kwenye tovuti yetu ya Tanzania tech, pia unaweza kutufuata kwenye mitandao ya kijamii kwenye facebook, Instagram, Twitter na Youtube Channel ili kupata video za habari na mafunzo ya teknolojia mbalimbali.

Mambo Muhimu Kujua Kabla ya Kununua TV Nzuri

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

2 Comments