in

Toleo Jipya la Mchezo wa Call of Duty Kutoka Kesho

Uzinduzi wa Toleo Jipya la Game ya Call of Duty Infinite Warfare

Mchezo wa Call of Duty

Kampuni maarufu ya Infinity Ward inayojihusisha na utengenezaji wa Mchezo ya Playstation, Xbox One, PC pamoja na Wii U imethibitisha hivi karibuni kuwa itatoa toleo lake jipya la mchezo wa “Call of Duty Infinite Warfare” toleo hilo limepanga kuzinduliwa kesho siku ya tarehe 2 may ambapo tukio zima litaonyeshwa moja kwa moja kupitia akaount ya mitandao ya Michezo ya Twitch.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Hata hivyo saa chache zilizopita kampuni hiyo ilitoa trailer ya game hiyo ambayo inapendwa sana wengi duniani. hata hivyo watu wengi mbalimbali wamekua na maoni tofauti kuhusiana na kutoka kwa mchezo huo mpya kutoka kwenye kampuni hiyo ya Infinity Ward. Kama unataka kutoa maoni pamoja na kuchat na watu mbalimbali duniani kuhusu mchezo huo bofya hapa Twitch COD.

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.