in

Mchezo Mpya wa Need for Speed Kutoka Mwaka 2017

Need For speed

Kwa wale wapenzi wa mchezo wa computer na playstation wa Need for speed hii ni habari njema kwenu kwani kampuni inayo husika na utengenezaji wa mchezo huo hivi majuzi imetangaza kuwa mchezo huo unarudi tena ukiwa ni toleo lake la saba toka ilipoanza hapo mwaka 1998.

Watengenezaji wa game hiyo the franchise waliandika katika website yao kuwa toleo hilo jipya litaitwa “Taking Stock: Under the Hood #7,” ambapo tayari mchezo huo umeshanza kutengeneza kwa kutumia maoni ya wapenzi wa game hiyo kote duniani. Hata hiyo the franchise iliongeza kuwa itakua ikialika watu mbalimbali katika office zake ili kutoa maoni mbalimbali yahusuyo utengenezaji wa game hiyo maarufu.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Hivyo basi! kama wewe ni mpenzi wa mchezo huu kaa tayari kwa NFS 7 ambayo inategemewa kuwa kali zaidi ya ile iliyotoka mwaka jana.

Kumbuka endelea kupitia blog ya Tanzania tech ili upate habari zaidi na info za game mbalimbali duniani.

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

2 Comments