Popular Now
Claude Mythos Toleo Jipya la AI Lenye Kutishia Usalama 5

Claude Mythos Toleo Jipya la AI Lenye Kutishia Usalama

Google is Introducing a Search Bar Within Play Store Reviews 6

Google is Introducing a Search Bar Within Play Store Reviews

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026 7

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026

Instagram

Instagram Kuruhusu Kuhifadhi Picha za Mtu sehemu Maalum

Mtandao wa instagram kupitia programu zake za instagram za Android na iOS, leo imetangaza sehemu mpya ambayo itakuwezesha kuhifadhi picha za mtu yoyote kwenye sehemu maalum au (private collection).

Kuanzia leo watumiaji wa mtandao huo wataanza kuona sehemu yenye mshale maarufu kama, bookmark icon ambapo kwa kubofya hapo utaweza kuhifadhi picha yako au ya mtu yoyote kwenye sehemu maalum.

Instagram Kuruhusu Kuhifadhi Picha za Mtu sehemu Maalum 8

Sehemu hii inakuja kwenye toleo jipya la mtandao wa instagram wenye toleo la Instagram version 10.2. Unaweza kuangalia update za programu hiyo sasa ili kupata sehemu hiyo mpya kwenye programu hiyo maarufu ya kijamii.

Kwa habari zaidi za teknolojia unaweza kujiunga nasi kupitia page zetu za Facebook, Instagram, Twitter pamoja na Youtube, pia kama unataka kupata habari za teknolojia kwa haraka pindi zitakapo toka unaweza kudownload App ya Tanzania tech kupitia Play store.

Previous Post
microsoft na harman

Microsoft na Harman Kuleta Speaker Janja Ifikapo 2017

Next Post
Yahoo

Yahoo Yadukuliwa na Akaunti Bilioni Moja Zachukuliwa