Editor choice

Ugumu na Ubora wa Samsung Galaxy S21 Ultra

Kampuni ya Samsung hivi karibuni ilizindua simu mpya ya Galaxy S21 Ultra na simu nyingine za Galaxy S21 na Galaxy S21 Plus. Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanafikiria kununua simu hii mpya pengine ni vyema kusoma makala hii kabla ya kununua simu hii mpya.

Samsung Galaxy S21 Ultra 5G

Ugumu na Ubora wa Samsung Galaxy S21 Ultra
TZS 2,800,000
Version: Galaxy S21 Ultra 5G
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Linganisha
  • CPU: Exynos 2100 (International), Qualcomm Snapdragon 888
  • RAM: 12/16 GB
  • Storage: 128/256/512 GB
  • Display: Dynamic AMOLED, 6.8 inches
  • Camera: Quad 108 MP, 10 MP, 10 MP, 12 MP
  • OS: Android 11

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

8.3 4.2 119
  • Muundo 8 / 10
  • Kamera 8 / 10
  • Uwezo 8 / 10
  • Chaji 9 / 10

Soma Zaidi Hapa

Kwa kuanza galaxy s21 Ultra inakuaja na RAM ya GB 12 au GB 16, huku ikiwa na uhifadhi wa ndani wa GB 256 AU GB 512. Simu hii pia inakuja na kamera nne kwa nyuma zenye uwezo wa Megapixel 108, Megapixel 10, Megapixel 10, na nyingine ni Megapixel 12. Lakini mbali ya simu hii kuwa na sifa bora, kuitia video hapo chini unaweza kuangalia ugumu na ubora wa Simu hii ya galaxy S21 Ultra kabla ya kununua.

Ugumu na Ubora wa Galaxy S21 Ultra

image

Bila shala kwa kuangalia video hapo juu utaweza kujua kama Galaxy S21 Ultra ni simu bora kwako kununua au sio. Kama umeona simu hii sio bora kwako unaweza kusoma hapa kujua simy bora za samsung za kununua kwa sasa.

>
Tanzania Tech
Logo