Editor choice

#Video Ugumu na Ubora wa Xiaomi Mi 11

Hivi karibuni kampuni ya Xiaomi huko nchini China ilizindua simu mpya ya Xiaomi Mi 11, simu hii ni moja kati ya simu bora sana kwa sasa na hadi sasa ni moja kati ya simu ambayo inakuja na sifa bora pengine kuliko simu nyingi sana za Xiaomi.

Xiaomi Mi 11

#Video Ugumu na Ubora wa Xiaomi Mi 11
TZS 1,440,000
Version: Xiaomi Mi 11
Brand: Xiaomi
Category: Simu Mpya
Compare
  • CPU: Octa-core (1x2.84 GHz Kryo 680 & 3x2.XX GHz Kryo 680 & 4x1.XX GHz Kryo 680
  • RAM: 8/12 GB
  • Storage: 128/256 GB
  • Display: AMOLED, 6.81 inches
  • Camera: Triple 108 MP, 13 MP, 5 MP
  • OS: Android 11

Soma Zaidi Hapa

Lakini pamoja na kuwa na sifa bora ambazo hizo mara nyingi tunaziita sifa za ndani, bado uwezo wa simu hii kuimili matumizi ya kila siku hatuja ufahamu. Sasa ili kuweza kujua kama simu hii mpya ya Xiaomi Mi 11 inakufaa kwa matumizi yako basi ni wakati wa kuangalia ugumu na ubora wa simu hii mpya ya Xiaomi Mi 11.

Unaweza kuangalia hapo chini na uhakika baada ya hapo utaweza kujua kama simu hii inafaa kwa matumizi yako au laah. Pia unaweza kusoma sifa kamili za simu hii kwa kubofya sehemu ya soma zaidi hapo juu.

image

Bila shaka kwa kuangalia video hii hapo juu utaweza kujua kama simu hii ni bora kwa matumizi yako au kama haifai. Kumbuka kama una angalia zaidi battery kwenye simu, ipo list hapa ya simu zenye uwezo mkubwa wa kudumu na chaji kwa muda mrefu. Soma hapa kujua zaidi.

>
Tanzania Tech
Logo