Smartwatch ni moja kati ya vitu vya muhimu sana siku hizi, iwe wewe ni mpenzi wa kuvaa saa au lah!, kuwa na smartwatch ni jambo la msingi sana siku hizi. Japo kuwa smartwatch au saa janja hutumiwa kama kifaa cha kuangalia muda, lakini smartwach hufanya zaidi ya hayo.
Kwa sasa smartwatch nyingi zina uwezo wa kupima mapigo ya moyo, pamoja na kutabiri kiasi cha oxygen kwenye damu na mambo mengine mengi. Mbali ya hayo saa hizi janja zinakuja na mitindo tofauti ambayo unaweza kubadilisha bila hata kununua saa nyingine.
Kifupi ni kuwa smartwatch ni muhimu sana. Kuliona hilo leo nimekuletea list ya smartwatch za bei rahisi ambazo unaweza kununua kwa sasa hapa Tanzania. Kumbuka saa hizi zinaweza kutofautiana bei kulingana na mahali ulipo, Basi baada ya kusema hayo twende moja kwa moja kwenye list hii.
ZTE Watch Live




-
Processor: One core
-
Display: TFT, 1.3 inch
-
RAM: 512 MB
-
Storage: Unspecified
-
OS: Unspecified
-
Sim Card: No
TECNO Band 1



-
Processor: One-core
-
Display: IPS LCD, 0.96 inch
-
RAM: 512 MB
-
Storage: Unspecified
-
OS: Unspecified
-
Sim Card: No
Xiaomi Redmi Watch



-
Processor: One core
-
Display: IPS LCD, 1.4 inch
-
RAM: 512 MB
-
Storage: Unspecified
-
OS: Unspecified
-
Sim Card: No
OnePlus Band




-
Processor: One core
-
Display: AMOLED, 2.97 inch
-
RAM: Unspecified
-
Storage: Below 16 GB
-
OS: Android
-
Sim Card: No
Honor Band 6


-
Processor: One core
-
Display: AMOLED, 1.47 inch
-
RAM: Unspecified
-
Storage: Below 16 GB
-
OS: Android
-
Sim Card: No
Honor Band 6


-
Processor: One core
-
Display: AMOLED, 1.47 inch
-
RAM: Unspecified
-
Storage: Below 16 GB
-
OS: Android
-
Sim Card: No
Na hizo ndio smartwatch za bei rahisi chini ya TZS 100,000 ambazo unaweza kununua kwa sasa. Kumbuka smartwatch inafanya kazi vizuri ukiwa na Smartphone, hivyo ni vyema kusoma list hii ya simu nzuri za bei rahisi za Samsung ambazo unaweza kununua kwa sasa, pia unaweza kuangalia simu za bei rahisi Chini ya TZS 350,000.
Kwa habari zaidi za simu na mambo mengine yahusuyo teknolojia hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania tech kila siku. Bila kusahau utaendelea kujua ofa mpya za bidhaa mbalimbali kila siku.!