Editor choice

Simu (20) Zenye Battery Kubwa 6000 mAh (Zinadumu na Chaji)

Ni wazi kuwa hakuna kitu cha muhimu kwenye simu kama uwezo wake wa kudumu na chaji, kwani ni wazi kuwa simu isiyodumu na chaji hata iwe na sifa nzuri vipi haitoweza kukidhi mahitaji ya mtumiaji ya kila siku.

Kuliona hilo leo nimekuletea list hii ya baadhi ya simu zinazodumu na chaji kwa muda mrefu simu ambazo zina battery kubwa ya 6000 mAh. Kumbuka baadhi ya simu kwenye list hii hatuja fanikiwa kuzijaribu ila kutokana na kuja na battery kubwa ya 6000 mAh basi moja kwa moja simu hizi zinaingia kwenye list hii ya simu zinazodumu na chaji kwa muda mrefu zaidi.

Tofauti na simu nyingine za kawaida, simu zenye battery ya 6000 mAh, mara nyingi zinaweza kudumu na chaji kwa siku moja nzima au siku mbili kulingana na matumizi binafsi. Kwa baadhi ya simu ambazo tumefanikiwa kuzifanyia majaribio, simu nyingi zimekuwa zikidumu na chaji siku nzima na kuchaji siku inayofuatia huku zikiwa na chaji angalau asilimia 30 au 40.

Basi baada ya kusema hayo, bila kupoteza muda moja kwa moja twende kwenye list hii ya simu zenye battery kubwa ya 6000 mAh, ambazo pia ni simu ambazo zinadumu na chaji zaidi kwa sasa.

Samsung Galaxy M51

Simu (20) Zenye Battery Kubwa 6000 mAh (Zinadumu na Chaji)
TZS 1,100,000
Version: Galaxy M51
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (2x2.2 GHz Kryo 470 Gold & 6x1.8 GHz Kryo 470 Silver)
 • RAM: 6 GB
 • Storage: 128 GB
 • Display: Super AMOLED, 6.7 inches
 • Camera: Quad 64 MP, 12 MP, 5 MP, 5 MP
 • OS: Android 10

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

7.3 3.7 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 7 / 10
 • Chaji 8 / 10

Soma Zaidi Hapa

Xiaomi Redmi 9 Power

Simu (20) Zenye Battery Kubwa 6000 mAh (Zinadumu na Chaji)
TZS 370,000
Version: Redmi 9 Power
Brand: Xiaomi
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (4x2.0 GHz Kryo 260 Gold & 4x1.8 GHz Kryo 260 Silver)
 • RAM: 4 GB
 • Storage: 64/128 GB
 • Display: IPS LCD, 6.53 inches
 • Camera: Quad 48 MP, 8 MP, 2 MP, 2 MP
 • OS: Android 10

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.8 3.4 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 6 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Samsung Galaxy F41

Simu (20) Zenye Battery Kubwa 6000 mAh (Zinadumu na Chaji)
TZS 570,000
Version: Samsung Galaxy F41
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (4x2.3 GHz Cortex-A73 & 4x1.7 GHz Cortex-A53)
 • RAM: 6 GB
 • Storage: 64/128 GB
 • Display: Super AMOLED, 6.4 inches
 • Camera: Triple 64 MP, 8 MP, 5 MP
 • OS: Android 10

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

7.0 3.5 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 7 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Samsung Galaxy M31

Simu (20) Zenye Battery Kubwa 6000 mAh (Zinadumu na Chaji)
TZS 520,000
Version: Galaxy M31
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (4x2.3 GHz Cortex-A73 & 4x1.7 GHz Cortex-A53)
 • RAM: 6 GB
 • Storage: 64/128 GB
 • Display: Super AMOLED, 6.4 inches
 • Camera: Quad 64 MP, 8 MP, 5 MP, 5 MP
 • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

7.0 3.5 119
 • Muundo 6 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 7 / 10
 • Chaji 8 / 10

Soma Zaidi Hapa

Samsung Galaxy M31s

Simu (20) Zenye Battery Kubwa 6000 mAh (Zinadumu na Chaji)
TZS 680,000
Version: Galaxy M31s
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (4x2.3 GHz Cortex-A73 & 4x1.7 GHz Cortex-A53)
 • RAM: 8/6 GB
 • Storage: 128 GB
 • Display: Super AMOLED, 6.5 inches
 • Camera: Quad 64 MP, 12 MP, 5 MP, 5 MP
 • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

7.0 3.5 119
 • Muundo 6 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 7 / 10
 • Chaji 8 / 10

Soma Zaidi Hapa

Samsung Galaxy M21

Simu (20) Zenye Battery Kubwa 6000 mAh (Zinadumu na Chaji)
TZS 820,000
Version: Unofficial Specifications
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (4x2.3 GHz Cortex-A73 & 4x1.7 GHz Cortex-A53)
 • RAM: 4/6 GB
 • Storage: 64/128 GB
 • Display: Super AMOLED, 6.4 inches
 • Camera: Triple 48 MP, 8 MP, 5 MP
 • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

7.5 3.8 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 8 / 10
 • Uwezo 7 / 10
 • Chaji 8 / 10

Soma Zaidi Hapa

Realme C15

Simu (20) Zenye Battery Kubwa 6000 mAh (Zinadumu na Chaji)
TZS 370,000
Version: Realme C15
Brand: Realme
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core 2.3 GHz Cortex-A53
 • RAM: 3/4 GB
 • Storage: 64/128GB
 • Display: IPS LCD, 6.5 inches
 • Camera: Quad 13 MP, 8 MP, 2 MP, 2 MP
 • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.8 3.4 119
 • Muundo 6 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 6 / 10
 • Chaji 8 / 10

Soma Zaidi Hapa

TECNO Pova

Simu (20) Zenye Battery Kubwa 6000 mAh (Zinadumu na Chaji)
TZS 350,000
Version: TECNO Pova
Brand: TECNO
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (2x2.0 GHz Cortex-A75 & 6x1.8 GHz Cortex-A55)
 • RAM: 6 GB
 • Storage: 128 GB
 • Display: IPS LCD, 6.8 inches
 • Camera: Quad 13 MP, 2 MP, 2 MP, QVGA
 • OS: Android 10

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

5.3 2.7 119
 • Muundo 5 / 10
 • Kamera 5 / 10
 • Uwezo 5 / 10
 • Chaji 6 / 10

Soma Zaidi Hapa

TECNO Spark 6 Air

Simu (20) Zenye Battery Kubwa 6000 mAh (Zinadumu na Chaji)
TZS 270,000
Version: Spark 6 Air (India)
Brand: TECNO
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa core (1.8 GHz, Quad core, Cortex A53
 • RAM: 2 GB
 • Storage: 32 GB
 • Display: IPS LCD, 7.0 inches
 • Camera: Triple 13 MP, 13 MP, 2 MP
 • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.5 3.3 119
 • Muundo 6 / 10
 • Kamera 6 / 10
 • Uwezo 6 / 10
 • Chaji 8 / 10

Soma Zaidi Hapa

Samsung Galaxy M31 Prime

Simu (20) Zenye Battery Kubwa 6000 mAh (Zinadumu na Chaji)
TZS 650,000
Version: Galaxy M31 Prime
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (4x2.3 GHz Cortex-A73 & 4x1.7 GHz Cortex-A53)
 • RAM: 6 GB
 • Storage: 64/128 GB
 • Display: Super AMOLED, 6.4 inches
 • Camera: Quad 64 MP, 8 MP, 5 MP, 5 MP
 • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

7.3 3.7 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 7 / 10
 • Chaji 8 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Smart 4

Simu (20) Zenye Battery Kubwa 6000 mAh (Zinadumu na Chaji)
TZS 250,000
Version: Infinix Smart 4 (India)
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Quad-core (4x2.0 GHz Cortex-A53)
 • RAM: 2 GB
 • Storage: 32 GB
 • Display: IPS LCD, 6.82 inches
 • Camera: Dual 13 MP, 0.3 MP
 • OS: Android 10 Go Edition

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.3 3.2 119
 • Muundo 6 / 10
 • Kamera 6 / 10
 • Uwezo 6 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Smart 4 Plus

Simu (20) Zenye Battery Kubwa 6000 mAh (Zinadumu na Chaji)
TZS 350,000
Version: Smart 4 Plus (India)
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core 1.8 GHz Cortex-A53
 • RAM: 3 GB
 • Storage: 32 GB
 • Display: IPS LCD, 6.82 inches
 • Camera: Dual 13 MP, 0.3 MP (Depth Sensor)
 • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.5 3.3 119
 • Muundo 6 / 10
 • Kamera 6 / 10
 • Uwezo 6 / 10
 • Chaji 8 / 10

Soma Zaidi Hapa

Xiaomi Poco M3

Simu (20) Zenye Battery Kubwa 6000 mAh (Zinadumu na Chaji)
TZS 400,000
Version: Poco M3
Brand: Xiaomi
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (4x2.0 GHz Kryo 260 Gold & 4x1.8 GHz Kryo 260 Silver)
 • RAM: 4 GB
 • Storage: 64/128 GB
 • Display: IPS LCD, 6.52 inches
 • Camera: Triple 48 MP, 2 MP, 2 MP
 • OS: Android 10

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

7.3 3.7 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 7 / 10
 • Chaji 8 / 10

Soma Zaidi Hapa

TECNO Spark Power 2

Simu (20) Zenye Battery Kubwa 6000 mAh (Zinadumu na Chaji)
TZS 350,000
Version: Spark Power 2 (India)
Brand: TECNO
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core 2.0 GHz Cortex-A53
 • RAM: 4 GB
 • Storage: 64 GB
 • Display: IPS LCD, 7.0 inches
 • Camera: Quad 16 MP, 5 MP, 2 MP, QVGA
 • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.5 3.3 119
 • Muundo 5 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 7 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Samsung Galaxy M30s

Simu (20) Zenye Battery Kubwa 6000 mAh (Zinadumu na Chaji)
TZS 550,000
Version: Galaxy M30s
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (4x2.3 GHz Cortex-A73 & 4x1.7 GHz Cortex-A53)
 • RAM: 6/4 GB
 • Storage: 64/128 GB
 • Display: Super AMOLED, 6.4 inches
 • Camera: Triple 48 MP, 8 MP, 5 MP
 • OS: Android 9.0 (Pie)

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

7.5 3.8 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 7 / 10
 • Chaji 9 / 10

Soma Zaidi Hapa

Realme C12

Simu (20) Zenye Battery Kubwa 6000 mAh (Zinadumu na Chaji)
TZS 350,000
Version: Realme C12
Brand: Realme
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core 2.3 GHz Cortex-A53
 • RAM: 3 GB
 • Storage: 32 GB
 • Display: IPS LCD, 6.5 inches
 • Camera: Triple 13 MP, 2 MP, 2 MP
 • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.5 3.3 119
 • Muundo 6 / 10
 • Kamera 6 / 10
 • Uwezo 6 / 10
 • Chaji 8 / 10

Soma Zaidi Hapa

Xiaomi Redmi 9T

Simu (20) Zenye Battery Kubwa 6000 mAh (Zinadumu na Chaji)
TZS 470,000
Version: Xiaomi Redmi 9T
Brand: Xiaomi
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (4x2.0 GHz Kryo 260 Gold & 4x1.8 GHz Kryo 260 Silver)
 • RAM: 4/6 GB
 • Storage: 64/128 GB
 • Display: IPS LCD, 6.53 inches
 • Camera: Quad 48 MP, 8 MP, 2 MP, 2 MP
 • OS: Android 10

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

7.0 3.5 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 7 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Hot 10 Play

Simu (20) Zenye Battery Kubwa 6000 mAh (Zinadumu na Chaji)
TZS 340,000
Version: Hot 10 Play
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core 2.3 GHz Cortex-A53
 • RAM: 2 GB
 • Storage: 32 GB
 • Display: IPS LCD, 6.82 inches
 • Camera: Dual 13 MP, 0.3 MP
 • OS: Android 10 (Go Edition)

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.5 3.3 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 6 / 10
 • Uwezo 6 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Motorola Moto G9 Power

Simu (20) Zenye Battery Kubwa 6000 mAh (Zinadumu na Chaji)
TZS 550,000
Version: Motorola Moto G9 Power
Brand: Motorola
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (4x2.0 GHz Kryo 260 Gold & 4x1.8 GHz Kryo 260 Silver)
 • RAM: 4 GB
 • Storage: 128 GB
 • Display: IPS LCD, 6.8 inches
 • Camera: Triple 64 MP, 2 MP, 2 MP
 • OS: Android 10

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

7.0 3.5 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 6 / 10
 • Uwezo 7 / 10
 • Chaji 8 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Hot 9 Play

Simu (20) Zenye Battery Kubwa 6000 mAh (Zinadumu na Chaji)
TZS 390,000
Version: Infinix Hot 9 Play
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (4x1.8 GHz Cortex-A53 & 4x1.5 GHz Cortex-A53)
 • RAM: 3/4 GB
 • Storage: 32/64 GB
 • Display: IPS LCD, 6.82 inches
 • Camera: Dual 13 MP, QVGA
 • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.5 3.3 119
 • Muundo 6 / 10
 • Kamera 6 / 10
 • Uwezo 6 / 10
 • Chaji 8 / 10

Soma Zaidi Hapa

Na hizo ndio baadhi ya simu ambazo zinakuja na battery kubwa ya 6000 mAh ambayo inaweza wa kudumu na chaji zaidi. Kumbuka uwezo wa kudumu na chaji unategemeana na matumizi yako lakini kulingana na ukubwa wa battery za simu hizi kama wewe ni mtumiaji wa kawaida basi unaweza kutumia simu hizi kwa siku nzima bila kuwa na wasiwasi wa chaji hata kidogo.

Kama unataka kujua simu nzuri za TECNO ambazo unaweza kununua kwa sasa basi unaweza kusoma makala iliyopita hapa. Kwa makala zaidi hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania tech kila siku.

>
Tanzania Tech
Logo